Tukikaza zaidi, mwaka 2016 ni wetu – Vanessa Mdee
Vanessa Mdee amewataka wasanii wa Tanzania kukaza zaidi kwenye muziki wao kwani Bongo Flava ipo kwenye soko kwa sasa.
Akizungumza na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz, Vanessa alisema wasanii wakitumia utamaduni wa Tanzania wataboresha zaidi muziki wao kimataifa.
“Wapokeaji wa muziki mzuri wapo wengi sana ndani na nje ya Tanzania kwa sasa,” alisema Vee Money.
“Kwahiyo hii ni nafasi ya pekee ya sisi kuonesha uwezo wetu kwa sababu attraction ipo kwetu....
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Diamond, Alikiba na Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za HiPipo za Uganda (2016)
![tuzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tuzo-300x194.jpg)
Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Bofya hapa kusoma majina...
9 years ago
Bongo516 Oct
Video ya ‘Never Ever’ yamgharimu Vanessa Mdee zaidi ya shilingi milioni 40
9 years ago
Bongo504 Jan
Vanessa Mdee amtaja mwanaume anayevaa vizuri zaidi Tanzania, naye ni?
![915526_1674671109457520_1194222309_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/915526_1674671109457520_1194222309_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amemtaja mwanaume wa Tanzania anayemuona kuwa ndiye anayevaa vizuri zaidi kuliko wote.
Naye si mwingine zaidi ya mpenzi wake, Jux.
“Jux has effortless style,” Vanessa Mdee amuambia Diva kwenye mahojiano aliyofanya naye kwaajili ya blog yake.
“He’s got a knack for spotting out, pairing and pulling off a lot of different looks and styles.”
Kwenye mahojiano hayo pia Vanessa alieleza vazi alilowahi kuvaa na kujuta.
“It was a performance outfit and I later realised after my show how...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Sekta za tisa za uwekezaji zitakazolipa zaidi mwaka 2016
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
9 years ago
Bongo512 Oct
Video: Vanessa Mdee — Never Ever
11 years ago
CloudsFM20 Jun
New Video: Vanessa Mdee - Come Over
Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....
11 years ago
GPL23 Jun
10 years ago
TheCitizen19 Jun
Mamas is the next step for Vanessa Mdee