Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekta za tisa za uwekezaji zitakazolipa zaidi mwaka 2016

Tunakaribia mwishoni mwa mwaka 2015. Hakuna jipya tena unaloweza kufanya ndani ya wiki moja zaidi ya kujipanga kwa mwaka ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wachumi wataka uwekezaji zaidi sekta ya kilimo

>Serikali imetakiwa kuwekeza zaidi  katika kilimo na kuandaa mipango na sera zitakazowanufaisha wakulima wa ngazi ya chini.

 

9 years ago

Bongo5

Tukikaza zaidi, mwaka 2016 ni wetu – Vanessa Mdee

Vanessa and Tekno

Vanessa Mdee amewataka wasanii wa Tanzania kukaza zaidi kwenye muziki wao kwani Bongo Flava ipo kwenye soko kwa sasa.

Vanessa Afrima

Akizungumza na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz, Vanessa alisema wasanii wakitumia utamaduni wa Tanzania wataboresha zaidi muziki wao kimataifa.

“Wapokeaji wa muziki mzuri wapo wengi sana ndani na nje ya Tanzania kwa sasa,” alisema Vee Money.

“Kwahiyo hii ni nafasi ya pekee ya sisi kuonesha uwezo wetu kwa sababu attraction ipo kwetu....

 

10 years ago

Michuzi

Kongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava akiwasilisha hotuba yake katika Kongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia. Mwaka huu linafanyika tarehe 3-5, 2014 mjini hapo.Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wanaoshiriki kwenye Kongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia. Mwaka huu linafanyika tarehe 3-5, 2014 mjini hapo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL

Smalling-Vardy-Ozil-De-Bruyne

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.

Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.

Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;

Golikipa

Jack Butland -Stoke...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yahamasisha uwekezaji sekta ya viwanda

SERIKALI imetoa mwito kwa Ofisi za Wakuu wa Mikoa kuhamasisha uwekezaji katika Sekta ya Viwanda kwenye mikoa yao ili kuweza kukuza uchumi wa mikoa husika na taifa kwa ujumla.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuboresha uwekezaji sekta ya nishati

SERIKALI imekusudia kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji katika sekta ya nishati zikiwamo kampuni zake. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA MISITU WAHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUKI.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. WAKALA wa Huduma  za Misitu Nchini (TFS),wamewataka wawekezaji wawekeze kwenye sekta  ya ufugaji nyuki  ili kutoa matokeo mazuri katika sekta hiyo.
 Hayo yamezungumzwa na Afisa ufugaji nyuki  mkuu  wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mwanahamisi Mapolu wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
 Mapolu amesema kuwa  wawekezaji wajikite zaidi katika usimamiaji wa viwanda  vitakavyozalisha...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAASWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Soud Ahmed Al-Rahili akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es salaam leo.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii ,Dar
Watanzania wametakiwa kuonyesha ushirikiano katika sekta ya uwekezaji ili kuweza kuwavutia wawekezaji wa nje kuwekeza nchini.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Soud Ahmed Al-Rahili alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati walipokuwa wakijadili masuala ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA TATHMINI YA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR

Makamu wa Pili w Rais wa Zanzibar Balozi Seifa Ali Iddi akifungua mkutano wa tisa wa tathmini ya sekta ya Afya Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanizibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufungua mkutano wa tisa wa tathmini ya Afya Zanzibar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani