Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yahamasisha uwekezaji sekta ya viwanda

SERIKALI imetoa mwito kwa Ofisi za Wakuu wa Mikoa kuhamasisha uwekezaji katika Sekta ya Viwanda kwenye mikoa yao ili kuweza kukuza uchumi wa mikoa husika na taifa kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tanzania na China kuendeleza ushirikiano kwenye Sekta ya Uwekezaji na Viwanda

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Balozi Liu Songtian (hayupo pichani). Balozi Liu na ujumbe wake wapo nchini kwa ajili ya kufuatilia masuala ya uwekezaji na maendeleo ya viwanda Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika zilizochaguliwa na China kwa ajili ya kuwa mfano katika uwekezaji na maendeleo ya viwanda....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuboresha uwekezaji sekta ya nishati

SERIKALI imekusudia kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji katika sekta ya nishati zikiwamo kampuni zake. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma Feb. 13,2015. Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Ndg. Raymond Mbilinyi akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara ya Mkoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara la Dodoma Feb. 13, 2015. Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma...

 

10 years ago

Vijimambo

Mikoa ihamasishe uwekezaji wa viwanda

Afisa fedha wa Kiwanda cha nguo Dahong Bw. Luke Li akiwaonyesha Bw. Erasmus Masumbuko na Bi. Angela Shayo (wachumi kutoka Tume ya Mipango) ubora wa nyuzi za pamba zinazotengenezwa na kiwanda chake.Kaimu Meneja Utawala Bw. Atanas William wa Kiwanda Cha Mafuta (Jielong Holdings) akimwonyesha Bw. Paul Sangawe, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, shehena ya mbegu za pamba zinazotumika na kiwanda katika usindikaji wa mafuta.Kaimu Meneja Utawala Bw. Atanas William wa Kiwanda Cha Mafuta...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Moro ashawishi uwekezaji kilimo, viwanda na utalii

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kulia) akimkaribisha Balozi wa Afika ya Kusini Nchini, Bw. T.D. Mseleku  alipomtembelea Ofsini kwake  hivi karibuni.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kulia) akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Bw. T. Mseleku.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Bw. T. Mseleku Balozi wa Afirika ya Kusini mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.

Na Andrew Chimesela,...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekta ya viwanda yachangia 3%

TAKWIMU zinaonesha kwamba sekta ya viwanda katika pato la Taifa imekuwa kutoka asilimia 9.8 mwaka 2010 hadi kufika asilimia 10.2 mwaka 2012, sawa na ongezeko la asilimia 0.3. Hayo yalisemwa...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA MAENDELEO YA VIWANDA WATANGAZA VYEMA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI

 Naibu katibu mtendaji kutoka Ofisi ya Rais Tume ya Mipango anayesimamia klasta ya Miundombinu na huduma, mhandisi Happiness Mgalula akitoa hotuba katika mkutano uliowahusisha ujumbe wa wadau wa maendeleo ya viwanda kutoka Tanzania  na ujumbe wa  wawekezaji kutoka nchini China.
 Picha ya pamoja kati ya wadau wa maendeleo ya viwanda kutoka Tanzania na ujumbe wa wawekezaji kutoka nchini China. Wajumbe wa mkutano wakisikiliza kwa makini hotuba kutoka kwa Naibu katibu mtendaji Ofisi ya Rais Tume...

 

10 years ago

Michuzi

VIWANJA 291 VYATANGAZWA KWA UWEKEZAJI WA VIWANDA WILAYA YA KISARAWE

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adamu Ng’imba akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi mji wa Kisarawe utakavyojengwa, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo,kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe na Katibu mkuu wa kamati kuu ya Miradi,Mwanamvua Mrindoko na kushoto  ni Afisa Mradi wa Maliasili wa Wilaya ya Kisarawe,Cheyo Nyegele.

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe
wakimsikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani