WAKALA WA MISITU WAHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUKI.
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. WAKALA wa Huduma za Misitu Nchini (TFS),wamewataka wawekezaji wawekeze kwenye sekta ya ufugaji nyuki ili kutoa matokeo mazuri katika sekta hiyo.
Hayo yamezungumzwa na Afisa ufugaji nyuki mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mwanahamisi Mapolu wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Mapolu amesema kuwa wawekezaji wajikite zaidi katika usimamiaji wa viwanda vitakavyozalisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA WALEZEA ULIVYOJIPANGA KUKABILI MAJANGA YA MOTO KWENYE MISITU,MASHAMBA
11 years ago
Michuzi26 May
WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJARO
9 years ago
MichuziNEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO
10 years ago
MichuziKongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia
5 years ago
MichuziMatukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wafuga nyuki watakiwa kulinda misitu
WAFUGA nyuki nchini wametakiwa kutunza vema misitu iliyopo ili iweze kuwasaidia ipasavyo katika shughuli zao za ufugaji nyuki.
10 years ago
MichuziWATANZANIA WAASWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii ,Dar
Watanzania wametakiwa kuonyesha ushirikiano katika sekta ya uwekezaji ili kuweza kuwavutia wawekezaji wa nje kuwekeza nchini.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Soud Ahmed Al-Rahili alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati walipokuwa wakijadili masuala ya...
9 years ago
VijimamboTANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
11 years ago
GPLNHC YAENDESHA JUKWAA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUMBA KWA WADAU WAKE