Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuga nyuki watakiwa kulinda misitu

WAFUGA nyuki nchini wametakiwa kutunza vema misitu iliyopo ili iweze kuwasaidia ipasavyo katika shughuli zao za ufugaji nyuki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAWAWEZESHA WAFUGA NYUKI WA MBEYA

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiwakabidhi wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO mjini Mbeya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa nyuki. Kupitia mradi wa Airtel FURSA kikundi hicho kimewezeshwa kwa kupatiwa mizinga ya nyuki, mashine za kukamulia asali, vifaa vya kinga ya nyuki na zana zitumikazo kuboresha biashara ya ufugaji wa nyuki. Wakishuhudia kutoka kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA MISITU WAHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUKI.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. WAKALA wa Huduma  za Misitu Nchini (TFS),wamewataka wawekezaji wawekeze kwenye sekta  ya ufugaji nyuki  ili kutoa matokeo mazuri katika sekta hiyo.
 Hayo yamezungumzwa na Afisa ufugaji nyuki  mkuu  wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mwanahamisi Mapolu wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
 Mapolu amesema kuwa  wawekezaji wajikite zaidi katika usimamiaji wa viwanda  vitakavyozalisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuongeza uzalishaji nyuki

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoa huo, kuhakikisha kuwa kila kikundi cha ufugaji nyuki kinafikisha mizinga 100 na kinachukua hatua za kuzuia uharibifu wa mazingira, ukiwemo ukataji wa miti .

 

5 years ago

Michuzi

Jumuiya za CCM Watakiwa kuanzisha miradi ya nyuki

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Edmond Mndolwa akikata utepe wakati wa kukabidhi mashine ya kufyatua matofali wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Edmond Mndolwa akikabidhi viti wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI

Na Abdulaziz Ahmeid-Dodoma Wanasiasa wameombwa kutoa ushirikiano kwa taasisi na wadau mbalimbali wanaoshughulika na uhifadhi wa misitu na mazingira badala ya wao kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanaoshiriki na kusababisha uharibifu wa mazingira unaondelea kwa kasi hapa nchini. Wito huo umetolewa leo mjini Dodoma na mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu Tanzania(MJUMITA)Bi Rahima Njaidi Wakati wa ufunguzi wa warsha na mkutano mkuu wa 14,ambao umeshirikisha wanachama...

 

11 years ago

Mtanzania

Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.

Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kulinda amani

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wametakiwa kutambua kwamba jukumu la kudumisha na kulinda amani linawahusu badala ya kuamini kwamba kulipa kodi ndiyo shughuli pekee ya kuisaidia nchi. Hayo yalibainshwa hivi karibuni na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kulinda maeneo ya ardhioevu

WANANCHI wanaoishi kando ya maeneo ya ardhioevu na sehemu ambazo mito inakutana na bahari, wamehimizwa kuzingatia matumizi bora ya maeneo hayo, ili yasilete madhara ya mali, uhai wao na uharibifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani