Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kulinda amani

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wametakiwa kutambua kwamba jukumu la kudumisha na kulinda amani linawahusu badala ya kuamini kwamba kulipa kodi ndiyo shughuli pekee ya kuisaidia nchi. Hayo yalibainshwa hivi karibuni na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.

Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KULINDA AMANI YA NCHI - CP CHAGONJA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
JESHI la Polisi limewataka wananchi kuendelea na utulivu kama walivyoonyesha wakati wa upigaji kura na hatimaye kupatikana katika siku ya uampishwaji wa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamishina wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi hilo, Paul Chagonja amesema kuwa jeshi la polisi limeridhishwa na utulivu uliokuwepo wakati wa upigaji kura, na utulivu huo umeweza kufanya uchaguzi kwenda salama na hatimaye...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Iringa watakiwa kuwa watulivu na kulinda amani

Wakazi wa mkoani Iringa wametakiwa kuwa watulivu kwa kupunguza ushabiki wa kisiasa ili kuepusha vurugu zisizo na msingi na kuufanya mkoa huo kuwa sehemu salama ya kuishi.

Hatua hiyo inatokana na uwepo wa watuhumiwa 50 waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.

Ni kutokana na mvutano uliopo baina ya makundi mawili ya kisiasa juu ya ushindi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa- Bi- Amanina...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kutumia benki

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kuacha tabia ya kuhifadhi mamilioni ya fedha majumbani na kwenye maduka yao na badala yake watumie benki zilizopo kuhifadhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wa Kichina kulinda viwango

CHAMA cha Wafanyabiashara kutoka China wanaofanya shughuli zao chini ya mwamvuli wa Kariakoo Chinese Chamber of Commerce (KCCC) kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa zisambazazwo na wanachama...

 

10 years ago

Habarileo

Wafuga nyuki watakiwa kulinda misitu

WAFUGA nyuki nchini wametakiwa kutunza vema misitu iliyopo ili iweze kuwasaidia ipasavyo katika shughuli zao za ufugaji nyuki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kulinda maeneo ya ardhioevu

WANANCHI wanaoishi kando ya maeneo ya ardhioevu na sehemu ambazo mito inakutana na bahari, wamehimizwa kuzingatia matumizi bora ya maeneo hayo, ili yasilete madhara ya mali, uhai wao na uharibifu...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kulinda amani

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani