Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tukirudi Bungeni, katiba tayari’

Mwenyekiti wa Ukawa na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Freeman Mbowe, amesema kuna kila dalili watakaporudi bungeni hatima ya mchakato wa Katiba Mpya ya Tanzania utakuwa umeiva.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba

>Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wabunge wa kundi la Ukawa upande wa Zanzibar kurejea na kushiriki kwenye Bunge la Katiba ili kumaliza kero na malalamiko katika muundo  wa Muungano kupitia rasimu mpya na kuipa nafasi Zanzibar iweze kujiimarisha kiuchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya tayari tumeliwa

TUMELIWA! Katiba mpya tuliyodanganywa itatokana na wananchi, mchakato wake umehodhiwa na kuvurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu awali CCM hawakuwa na wazo wala dhamira ya kuandika Katiba mpya isipokuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tupo tayari kupokea Katiba inayoburushwa?

SWALI la msingi na lenye maana kwa kipindi hiki, ni kujiuliza kama tunaamini kuwa mchakato wa Katiba unakwenda vizuri, na hakuna tatizo, Je Watanzania wameulizwa kama wapo tayari kuipokea Katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Bunge la #Katiba tayari, kazi sasa kuanza rasmi? [VIDEO]

Tazama jinsi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba walivyomchagua Spika wa Zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wao wa Kudumu.

 

11 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba bungeni leo

TUNAWEZA kusema ni wiki muhimu kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutengewa siku tatu za kujadili rasimu ya Katiba itakayowasilishwa leo na Jaji Joseph Warioba. Shughuli za wiki hii, licha ya mjadala huo, pia wajumbe hao watapigwa msasa na wataalamu wa mambo ya Katiba kutoka nje ya nchi kesho, kabla ya bunge hilo kuhutubiwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.

 

11 years ago

KwanzaJamii

BUNGE LA KATIBA: UKAWA WAGOMA KURUDI BUNGENI

Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) akiwahutubia wananchi waliojitokeza kukiunga mkono chama hicho katika viwanja vya Welfare (Orofea) mkoani Iringa. Na Mathias Canal, Kwanza Jamii-Iringa. Ukawa waendelea na msimamo wa kutorejea kwenye  bunge la katiba kutokana na katiba hiyo kutokidhi matakwa ya watanzania walioshiriki kutoa maoni yao ambayo kwa sasa yamebadilishwa na kuwa mawazo ya wachache. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alipozungumza na Kwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba mkwamo; Ukawa wasisitiza hawatarudi bungeni

>Joto la Katiba Mpya linazidi kupanda nchini, huku baadhi ya wasomi na makundi mbalimbali ya watu wakizidi kutilia shaka utapatikanaji wa Katiba hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siioni Katiba mpya, nasubiri ngumi bungeni

NIMESOMA majina 201 yaliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuunda Bunge Maalumu ya Katiba, nimebaini uwepo wa safari ndefu kufikia kile wengi wetu tulichokuwa tukitarajia. Bunge Maalumu la Katiba ndilo litakalopitia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Chenge kuwasilisha Katiba Pendekezi Bungeni leo

Na mwandishi wetu, Dodoma
Andrew ChengeWAKATI wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakiendelea kususa, Bunge Maalumu la Katiba leo linaingia kwenye hatua muhimu pale Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge, atakapowasilisha Katiba Pendekezi.
Chenge, ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, anatarajiwa kuwasilisha Katiba Pendekezi kwa Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta, baada ya kukamilisha kazi hiyo.
Mara baada ya kuwasilishwa, wajumbe wa Kamati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani