Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tukubali Azam FC walistahili

NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama kawaida kupeana changamoto za kispoti, lengo likiwa ni lile lile, kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu ya michezo. Kwanza nawatakia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Chelsea walistahili kupewa penati — Graham Poll (Picha)

Baada ya kocha wa Chelsea kulalamika kuwa walistahili kupewa penati kwenye mchezo wa jana dhidi ya Manchester United, aliyekuwa mwamuzi wa michezo ya ligi kuu ya soka nchini Uingereza, Graham Poll, amemkosoa mwamuzi aliyechezesha mchezo huo Philip Dowd kuwa hakutenda haki. Poll, amesema ameufuatilia kwa umakini mchezo huo na kubaini Philip Dowd hakuitendea haki Chelsea […]

 

9 years ago

Raia Mwema

Tukubali mabadiliko

RAIS John Magufuli alifungua rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwishoni mwa wiki ili

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

PROF. MUHONGO ‘TUKUBALI KUBADILIKA’

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa akizungumza jambo wakati wa kikao cha utambulisho wa viongozi wapya wa Wizara. Kikao hicho kimeshirikisha Menejimenti ya Wizara, Taasisi zilizo chini ya Wizara zikiwemo Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania (TPDC), Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA), Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Chuo cha Madini Dodoma (MRI)...

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Tukubali, hamkani si shwari

>Gwiji wa riwaya duniani, Chinua Achebe (marehemu) katika kitabu chake cha ‘Things Fall Apart’( Hamkani si shwari tena) ambacho alikitunga mwaka 1958 alizungumzia  matatizo yaliyotokana na ukoloni katika Bara la Afrika.

 

10 years ago

GPL

JOH MAKINI: TUKUBALI KUKOSELEWA KATIKA MUZIKI

Ofisa wa sanaa kutoka Balaza la sanaa (BASATA)Augustino Kihiyo(kushoto) John Saimon 'Joh Makin'(katikati) pamoja na G-Nako. Baadhi ya wasanii na wanafunzi wa Chuo Cha Habari cha DSJ wakifuatilia mkutano huo.…

 

11 years ago

GPL

WAKATI MWINGINE TUKUBALI WAPENZI WETU ‘WATUCHUNE’

NI wiki nyingine tofauti kabisa na wiki iliyopita ambapo tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji, wapenzi wako wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana kazi na mwanamke hana kazi ama wote wanafanya kazi.
Katika mazingira hayo, fahamu kwamba mpenzi wako ana haki ya kukuchuna kimtindo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani