WAKATI MWINGINE TUKUBALI WAPENZI WETU ‘WATUCHUNE’

NI wiki nyingine tofauti kabisa na wiki iliyopita ambapo tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji, wapenzi wako wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana kazi na mwanamke hana kazi ama wote wanafanya kazi. Katika mazingira hayo, fahamu kwamba mpenzi wako ana haki ya kukuchuna kimtindo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 May
Lowassa: Huu ni wakati wetu wa kukimbia
NA MWANDISHI WETU, TABORA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya kisanyansi duniani.
Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana alipokuwa akihutubia katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu na miaka 40 ya upadri ya Askofu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Kwa mujibu wa Lowassa, elimu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba njia sahihi ya...
10 years ago
Bongo Movies09 Jul
Ni Wakati Wetu Wasanii Kusimama- Steve Nyerere
~~MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu wana nafasi kubwa katika uongozi kwa ni kivutio cha wapiga kura kwa mantiki ni wakati wao kushiriki katika hatamu za uongozi, na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
"Ni kweli tunahitaji mabadiliko katika utawala lakini hilo litafanikiwa tu pale tutaposhiriki kujiandikisha katika Daftari la mpiga kura, kama nilivyosema badala ya kusimama badala ya mgombea sasa tunasimama...
11 years ago
Michuzi
mchemsho mwingine wa refa washuhudiwa wakati Mexico ikiibanjua Cameroon bao 1-0 leo
5 years ago
Michuzi
SASA NI WAKATI KUWAPA BURUDANI ZA KINYUMBANI ZAIDI WATAZAMAJI WETU-TIDO MHANDO
- Rich rich aona Raha ya kuwepo Azam tv, tamthilia 4 madebe na shilingi yake.
KAMPUNI ya Azam media imezindua filamu nne kwa mpigo jijini leo jijini Dar es salaam.
Akizungumza na Michuzi tv Mtendaji mkuu wa kampuni ya Azam Media, Tido Mhando amesema Sasa ni wakati wa kuwapa burudani za kinyumbani zaidi watazamaji wao.
"Tumekuwa tukipokea malalamiko,maoni na ujumbe kutoka kwa watazamaji wet,u kupitia mitandaoni kuhusu juu ya kutaka kuona tamthilia za...
10 years ago
Vijimambo
Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

10 years ago
Vijimambo.jpg)
"WAKATI MWINGINE USIRI UNA BARAKA ZAIDI.....ALHAMDULILAH' HAYO NDIO MANENO YA DIAMOND KUASHIRIA HARUSI YAKE NA ZARI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
5 years ago
Michuzi
SADC TUIMARISHE UMOJA NA MSHIKAMANO WETU WAKATI HUU KUENEA KWA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA-PROF.KABUDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba kabudi (Mb) (wa kwanza kushoto) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya mawaziri pamoja na maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maafisa waandamizi/ makatibu wakuu wakifuatilia mkutano wa...
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Tukubali mabadiliko
RAIS John Magufuli alifungua rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwishoni mwa wiki ili
Mwandishi Wetu