Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuma ateuliwa DME wa TSN

Tuma Abdallah BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inayochapisha Daily News, Sunday News, HabariLEO, HabariLEO Jumapili na SpotiLEO, imemteua Mhariri wa Daily News, Tuma Abdallah (50) kuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO

Ndugu Mteja,Benki yako ya CRDB kinara wa ubunifu na bidhaa tele sokoni, inakuletelea kampeni kabambe ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO . Kampeni hii inahusisha moja ya bidhaa bora, salama na rahisi kutumia ya SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala mbalimbali ya kibenki pale ulipo ndani na nje ya nchi pasi kuhitaji kufika kwenye matawi yetu.Kushiri ki na kushinda kwenye kampeni hii ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO tumia huduma ya SimBanking mara nyingi uwezavyo kutuma pesa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA 'TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi, Martin Mmari.Zawadi za washindi.KWA PICHA ZAIDI ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Daily News

Nderumaki picked new TSN ME


Daily News
Nderumaki picked new TSN ME
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Mr Gabriel Nderumaki Managing Editor of Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN). A statement from the Directorate of Presidential Communications yesterday quoted the Chief Secretary, Ambassador ...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani