Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO

Ndugu Mteja,Benki yako ya CRDB kinara wa ubunifu na bidhaa tele sokoni, inakuletelea kampeni kabambe ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO . Kampeni hii inahusisha moja ya bidhaa bora, salama na rahisi kutumia ya SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala mbalimbali ya kibenki pale ulipo ndani na nje ya nchi pasi kuhitaji kufika kwenye matawi yetu.Kushiri ki na kushinda kwenye kampeni hii ya Tuma Pesa na SimBanking shinda PASSO tumia huduma ya SimBanking mara nyingi uwezavyo kutuma pesa kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI PASSO KWA MSHINDI WA SHINDANO LA "TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO

Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' Mwinyi Khamis Juma mkazi wa Mbalali mkoani Mbeya, akipunga mkono baada ya kukabidhiwa zawadi yake katika hafla iliyofanyika mkoani Mbeya juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Mbeya, Benson Mwakyusa na Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa. (Na Mpiga Picha Wetu) 
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (aliyeshika mfano wa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA 'TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi, Martin Mmari.Zawadi za washindi.KWA PICHA ZAIDI ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YABORESHA HUDUMA ZA SIMBANKING

MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kuboreshwa kwa huduma za Benki hiyo kupitia simu za kiganjani "Simbanking". MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (katikati), akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Esther Kitoka wakati wa mkutano na...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

10 years ago

Bongo5

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI YA UTUMIAJI WA SimBanking NA FAHARI HUDUMA WAKALA

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB imezindua kampeni maalum ya utumiaji wa huduma zake kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’  kupitia kwa mawakala  wa ‘FahariHuduma’.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei alisema lengo la kuanzisha kampeni hiyo ni kuwakumbusha wateja wake na watanzania wote kwa ujumla umuhimu wa kutumia njia hizo mbadala ili kupata huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani