Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUMA PICHA ZA MATUKIO KATIKA GLOBAL WHATSAPP +255 753 715 779

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA WA MKESHA WA MWAKA 2016 KATIKA PICHA

 Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyakea wakiwa katika mkesha wa mwaka mpya.  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na mkewe wakicheza kwa furaha wakati wa mkesha wa mwaka mpya. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akiwa na furaha wakati wa mkesha wa mwaka 2016 kwenye Uwanja wa Uhuru. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye(katikati) akicheza nyimbo za injili wakati wa mkesha wa mwaka mpya. Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Matukio katika picha

Baadhi ya picha zikionyesha jinsi watu katika maeneo mbalimbali duniani wanavyokabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA





Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri wa Nchi,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Matukio katika Picha CCM v UKAWA

Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini? Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.

The post Matukio katika Picha CCM v UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

Matukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani