Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumbi waishtaki Wizara ya Afya kwa Kinana

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk Peter Dattani WIZARA ya Afya i m e s h i n d w a kutekeleza ahadi ya kupeleka vifaa kwa ajili ya chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Tumbi iliyopo wilayani Kibaha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

11 years ago

Mwananchi

Waishtaki Sumatra kwa Dk Mwakyembe

>Chama cha Kutetea Abiria (Chakua) kimemwomba Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kuingilia kati suala la kuanza kwa matumizi ya mfumo mpya wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao kwa mabasi yaendayo mikoani, kwa madai kuwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imekuwa chanzo cha ucheleweshwaji wa kuanza kutumika kwa mfumo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa Wizara ya Afya kortini kwa tuhuma za rushwa

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Elias Chinamo amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu akikabiliwa na mashtaka 14 ya kuomba na kupokea rushwa.

 

11 years ago

GPL

WIZARA YA AFYA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI DAR

Mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ,Dk. Vida Makundi Mmbaga, akijibu maswali ya wanahabari.
Waandishi wakifuatilia kwa umakini.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi waishtaki Serikali kwa Magufuli

Wananchi wa Tarime mkoani hapa wamempokea mgombea wa urais wa CCM, Dk John Magufuli kwa mabango yenye ujumbe wa aina mbalimbali, wakiilalamikiwa Serikali kwa kushindwa kutatua kero ambazo zimekuwa zikiwakabili kwa muda mrefu.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL FUND ROUND 9 YATOA MABASI 6 KWA WIZARA YA AFYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Charles Pallangyo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …akipanda ndani ya basi.…

 

5 years ago

Michuzi

TICTS YAKABIDHI VIFAA VYA THAMANI YA MILIONI 182/- KWA WIZARA YA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKLI ATOA SHUKRANI KWA SEKTA BINAFSI


 Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi (wa pili kushoto) pamoja na  Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula (kushoto) wakiushukuru Uongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya  kuhudumia Makontena Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS), Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo,Horace Hui (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo wa TICTS, Donald Talawa kwa mchango wao wa kukabidhi msaada   wa vifaa  mbalimbali vyenye thamani ya Sh.milioni 182,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani