Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume zapiga marufuku elimu holela Katiba Inayopendekezwa

Jaji Damian LubuvaWAKATI nchi ikijiandaa kwa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, asasi za kiraia na kijamii nchini zinazotaka kutoa huduma ya elimu ya uraia na ya mpiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa, zimetakiwa kuomba vibali vya kufanya hivyo, vinginevyo hazitaruhusiwa kutoa elimu yoyote juu ya katiba hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NEC isififishe elimu Katiba Inayopendekezwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ilani kuzitaka asasi za kiraia na kijamii zenye nia ya kutoa elimu ya uraia na ya mpigakura kutofanya hivyo hadi kupata kibali cha tume hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, ZAMU YA WANANCHI WA WETE, PEMBA

 SHEHA wa shehia ya Kipangani Ali Said Hamad akifungua mkutano wa kuelimisha katiba inayopendekezwa, ulioandaliwa na Kituo cha Hudma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, kulia ni Hakimu wa Mahakama ya Ardhi mkoa kusini Pemba Salim Hassan Bakar na kushoto ni Mratibu wa ZLSC Fatma Khamis Hemed MWANASHERIA wa serikali Albaghir Yakout Juma, akitoa ufafanuzi wa Katiba inayopendekezwa mbele ya wananchi wa wilaya ya wete Pemba, mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.

 Taswira mbalimbali za kituo cha huduma za sheria9ZLSC) kikitoa elimu ya katiba iliyopendekezwa kwa wananchi Zanzibar.


 

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutangaza holela utafiti wa dawa

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amepiga marufuku asasi zinazojishughulisha na tafiti za dawa za binadamu, kutangaza matokeo ya utafiti kwenye vyombo vya habari, bila kufuata misingi iliyowekwa ikiwemo kuihusisha Wizara yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’

Tundu Lisu. UKITAKA kuwaudhi Watanzania wengi – wasomi na wajinga, wafupi na warefu, walevi na wasiotumia vileo  – unachotakiwa kufanya ni kutaja makosa aliyoyafanya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere akiwa madarakani.  Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, katika mijadala ya kuweka mambo sawa kitaifa, aliposema: “Nyerere hakuwa  Mungu” akimaanisha yaliyofanywa na kusemwa...

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani