Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumedhoofisha shilingi yetu dhidi ya dola

TUNAPOZUNGUMZIA kuimarisha Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani tuna maana gani?

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]

Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

>Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Utegemezi umechangia kudhoofisha shilingi yetu

Kwa vigezo vyovyote vile vya kimataifa, uchumi wetu bado unaonekana haupo salama. Hali iko hivyo licha ya kuwepo kwa utajiri mkubwa wa rasilimali kama dhahabu na gesi asilia.

 

5 years ago

Michuzi

“Nchi Yetu iko Salama dhidi ya Corona” – Dkt. Abbasi

Na. Immaculate Makilika - MAELEZO

Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo hapa nchini.

Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa, Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kwamba ugonjwa huo sio tu hauingii...

 

10 years ago

Michuzi

Binti yetu Zahara kura hazikutosha dhidi ya Irene Uwoya Tabora


Zahara Muhidin Michuzi akiwa nje ya ukumbi wa uchaguzi mapema leo.


Na Mkala Fundikira wa TBN kanda ya MagharibiLeo hii mchana binti ya mpiga picha na blogger maarufu nchini Muhidin Issa Michuzi Bi Zahara Michuzi alishindwa kupata kura za kutosha kumwezesha kushinda nafasi ya ubunge wa vijana kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Tabora baada ya msanii wa filamu Bi Irene Uwoya kupata kura 34 kati ya 39 zilizopigwa.
Zahara ambaye ni mhitimu wa shahada ya uchumi toka chuo kikuu cha UDOM aliyakubali...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg achangia shilingi bilioni 42 kusaidia mapambano dhidi ya Ebola

Mwanzilishi na CEO wa mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg ameamua kushiriki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola, kwa kuchangia dola milioni 25 sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 42. Zuckerberg mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dola bilioni 30, alitangaza msaada huo kupitia ukurasa wake wa Facebook. “Priscilla and I are donating $25 […]

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu na Utwala Bora yazindua taarifa ya ukaguzi wa vyombo vya dola dhidi ya watoto

Mgeni rasmi, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akitoa hotuba ya uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa Magereza na sehemu walimozuiliwa watoto pamija na nyezo za ufuatiliaji wa hali na haki za watoto hao, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora zilizo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es salaam. Mgeni rasmi, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa taarifa ya ukaguzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani