“Nchi Yetu iko Salama dhidi ya Corona†– Dkt. Abbasi
Na. Immaculate Makilika - MAELEZO
Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo hapa nchini.
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa, Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kwamba ugonjwa huo sio tu hauingii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Liv8vTorV_I/Xt9_7eiuuLI/AAAAAAALtKs/I9oQiAkCOlEmFGZGgGU-InUo6c7O8oHGwCLcBGAsYHQ/s72-c/6.jpg)
Dkt. Abbasi: Meli, Chelezo vya Bilioni 153 Vinakamilika Mwanza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo ametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli mbili za New Victoria na MV Mwanza (zamani Butiama) na kuwahakikishia watanzania miradi yote hii itakamilika kwa wakati.
Akiwa kwenye maeneo ya ujenzi jijini Mwanza leo (tarehe 8.06.2020) Dkt. Abbasi amesema ujenzi wa meli hizo na Chelezo ni uthibitisho kuwa Serikali imetimiza wajibu...
5 years ago
MichuziDkt. Abbasi: Watakaoshindwa Kufuata Mwongozo Afya Michezoni Watachukuliwa Hatua Kali
Akiwa jijini Mwanza jana Dkt. Abbasi aliwaeleza wadau wa michezo kuwa Serikali imechukua uamuzi mgumu wa kufungua michezo yote nchini na tayari ratiba za mechi mbalimbali katika Ligi Kuu ya Soka Nchini imetoka na timu...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Jamii yetu iko mikononi mwetu
Mratibu wa Vijana, Bahati Juma (wa kwanza kulia) akiwa na wanafunzi wa darasa la saba, shule ya Msingi Uchunga, kupitia pamoja somo la kiswahili kituoni hapo.
Mabadiliko katika jamii yoyote kwa kiasi kikubwa huchangiwa na ongezeo la mahitaji ya binadamu katika mambo mbalimbali. Kwamba, kadri dunia inavyopitia mabadiliko, kadiri ile ile changamoto, mahitaji na huduma katika jamii husika huongezeka. Ili kufikia malengo yanayotokana na misukumo na mageuzi yasiyokwepeka, binadamu amelazimika...
9 years ago
Habarileo18 Dec
Utafiti: Tanzania iko salama
TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .
10 years ago
Habarileo15 Apr
Nchi iko salama na ugaidi- Chikawe
SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu maelezo yanayotolewa na Mtanzania Rashid Mberesero (20) aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148.
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Data yako iko salama mtandaoni?
11 years ago
BBCSwahili02 May
Akaunti yako ya Gmail iko salama
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
'Familia iliotoweka iko salama chini ya IS'
10 years ago
Habarileo24 Oct
Kikwete: Licha ya ebola, Afrika iko salama
RAIS Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi.