Kikwete: Licha ya ebola, Afrika iko salama
RAIS Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAfrika ni salama pamoja na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola — Rais Kikwete
9 years ago
Habarileo18 Dec
Utafiti: Tanzania iko salama
TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Data yako iko salama mtandaoni?
11 years ago
BBCSwahili02 May
Akaunti yako ya Gmail iko salama
10 years ago
Habarileo15 Apr
Nchi iko salama na ugaidi- Chikawe
SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu maelezo yanayotolewa na Mtanzania Rashid Mberesero (20) aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148.
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
'Familia iliotoweka iko salama chini ya IS'
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Licha ya kusherekea kuuona mwaka 2016, atuko salama
Mwandishi wetu
Matukio ya watu kuporwa pesa kisha kuuawa na majambazi yatikisha, bodaboda zadaiwa kuwa tatizoLicha ya shamrashamra za kusherekea kuuona Mwaka Mpya wa 2016, siyo siri kwamba maisha ya Watanzania hayako salama tena, wameanza kuishi kwa hofu kubwa kufuatia matukio ya mauaji ya raia wema ambayo yamekuwa yakifanywa na majambazi nchini kote kwa kutumia pikipiki na watu kuuawa au kujeruhiwa kwa kupigwa risasi.
Utafiti uliofanywa na gazeti hili umebaini kwamba, ndani ya muda wa miezi...
5 years ago
Michuzi“Nchi Yetu iko Salama dhidi ya Corona†– Dkt. Abbasi
Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo hapa nchini.
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa, Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kwamba ugonjwa huo sio tu hauingii...
10 years ago
VijimamboKikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...