Akaunti yako ya Gmail iko salama
Mtandao wa Google umetangaza kusitisha mpango wake wa kuchunguza akaunti za Gmail
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Data yako iko salama mtandaoni?
9 years ago
Habarileo18 Dec
Utafiti: Tanzania iko salama
TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .
10 years ago
Habarileo15 Apr
Nchi iko salama na ugaidi- Chikawe
SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu maelezo yanayotolewa na Mtanzania Rashid Mberesero (20) aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148.
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
'Familia iliotoweka iko salama chini ya IS'
10 years ago
Habarileo24 Oct
Kikwete: Licha ya ebola, Afrika iko salama
RAIS Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi.
5 years ago
Michuzi“Nchi Yetu iko Salama dhidi ya Corona†– Dkt. Abbasi
Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo hapa nchini.
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa, Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kwamba ugonjwa huo sio tu hauingii...
10 years ago
Michuzi24 Feb
JIHADHARI NA UJUMBE KAMA HUU, UKIUFUATA AKAUNTI YAKO INASOMBWA...
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/2MRphP9raNCdfenw2-eb_yw5S5U-_3ztDzeycQbDzfMhrbiWhOv1P9KRnjlN2lEyCSem69XxrTJLcHrXJm52gXcnhyPZ=s0-d-e1-ft#https://ssl.gstatic.com/accounts/ui/logo_2x.png)
Dear Valued USER,
We received your instruction to terminate your Google accountYou need to confirm you made this request or we will continue with the requestIf you think it is an error, take action immediately to stop this process.CANCEL REQUEST
Thank You,
Google Account Team.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GgNahXUfzLs/XtDJaFnpOTI/AAAAAAALr8k/0zrd0UepHo8a1OL3s5VB8MJorX4eZG2XwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-29%2Bat%2B11.32.45%2BAM.jpeg)
Ongeza Salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa Airtel Money na Upate zaidi
![](https://1.bp.blogspot.com/-GgNahXUfzLs/XtDJaFnpOTI/AAAAAAALr8k/0zrd0UepHo8a1OL3s5VB8MJorX4eZG2XwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-29%2Bat%2B11.32.45%2BAM.jpeg)
Ukiwa na Meridianbet, ofa hii mpya kabisa inamaanisha sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa kupitia Airtel Money. Haijawahi kuwa rahisi hivi na kuweka pesa kunaweza kukamilika kwa kufuata hatua chache tu.
Kuweka pesa kwenye akaunti, Piga...
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus: Jinsi ya kusafisha simu yako kwa njia salama