Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi iko salama na ugaidi- Chikawe

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe.SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu maelezo yanayotolewa na Mtanzania Rashid Mberesero (20) aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Utafiti: Tanzania iko salama

TAASISI ya Utafiti ya Twaweza imezindua matokeo ya utafiti walioufanya hivi karibuni ukionesha asilimia 88 ya Watanzania wanaiona Tanzania iko salama. Matokeo ya utafiti huo wenye jina ‘Itikadi kali inavuma Tanzania’, yametokana na takwimu za sauti za watu 1,879 zilizopatikana kwa njia ya simu za mkononi kati ya Septemba 2 na Oktoba 11, mwaka huu .

 

10 years ago

BBCSwahili

'Familia iliotoweka iko salama chini ya IS'

Familia moja ya watu 12 nchini Uingereza ambayo ilitoweka imejiunga na kundi la wapiganaji wa IS na kwamba iko salama salmin,kulingana na taarifa iliotumwa kwa niaba yao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Akaunti yako ya Gmail iko salama

Mtandao wa Google umetangaza kusitisha mpango wake wa kuchunguza akaunti za Gmail

 

11 years ago

BBCSwahili

Data yako iko salama mtandaoni?

Akaunti za watumiaji milioni 4.6 wa mtandao wa kijamii wa Snapchat na namba zao simu zimedukuliwa

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Licha ya ebola, Afrika iko salama

RAIS Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi.

 

5 years ago

Michuzi

“Nchi Yetu iko Salama dhidi ya Corona” – Dkt. Abbasi

Na. Immaculate Makilika - MAELEZO

Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo hapa nchini.

Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa, Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha kwamba ugonjwa huo sio tu hauingii...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WAKUPAMBANA NA VURUGU NA UGAIDI, WASHINGTON MAREKANI

Rais wa Marekani, Barack Obama akitoa hotuba yake katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Loy Henderson, Wizara ya Mambo ya Nje, jijini Washington DC nchini humo leo. Mkutano huo uliowashirikisha Mawaziri wanaoshughulika na masuala ya usalama kutoka mataifa mbalimbali duniani, Maafisa Waandamizi wa Umoja wa Mataifa (UN), Vyama vya Kiraia na Sekta Binafsi ulijadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupambana na ugaidi pamoja na vurugu...

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Bagonza: Mipaka ya nchi siyo salama

>Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Dk.Benson Bagonza ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hatua ambazo Serikali inachukua katika kudhibiti kuingia kwa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani