Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya kusherekea kuuona mwaka 2016, atuko salama

risasi kovaMwandishi wetu

Matukio ya watu kuporwa pesa kisha kuuawa na majambazi yatikisha, bodaboda zadaiwa kuwa tatizoLicha ya shamrashamra za kusherekea kuuona Mwaka Mpya wa 2016, siyo siri kwamba maisha ya Watanzania hayako salama tena, wameanza kuishi kwa hofu kubwa kufuatia matukio ya mauaji ya raia wema ambayo yamekuwa yakifanywa na majambazi nchini kote kwa kutumia pikipiki na watu kuuawa au kujeruhiwa kwa kupigwa risasi.

Utafiti uliofanywa na gazeti hili umebaini kwamba, ndani ya muda wa miezi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Licha ya ebola, Afrika iko salama

RAIS Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Afrika katika Jamhuri ya Watu wa China kuendelea kutangaza habari njema kuwa bado ni salama kutembelea Bara la Afrika pamoja na kuzuka kwa ugonjwa wa ebola ambao umeua maelfu ya watu hasa katika nchi tatu za Afrika Magharibi.

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Zitto Kabwe

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.

Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...

 

10 years ago

Michuzi

TUFUNGE MWAKA KWA KUBAKI SALAMA MTANDAONI -

 Mwaka 2014 Umekua Wenye changamoto nyingi sana kwenye upade wa mitandao ambapo wahalifu mtandao walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuitikisa anga ya usalama mitandao duniani kote ambapo walifikia kutamba kuwa wameshinda mapambano na wanausalama mitandao.

Kubwa zaidi ni uelewa mdogo wa watumiaji mtandao juu ya kujiweka salama kimtandao iliyo ambatana na wana usalama mitandao kuwa wachache sana katika ngazi ya kidunia huku baadhi ya mataifa kutotoa kipaumbele katika maswala ya usalama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Mwaka Mpya 2016

Sherehe za kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2016.

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi wa michezo waupania mwaka 2016

“Tumechoshwa na jina la watalii, tumeumizwa na ukosefu wa medali kwa miaka kadhaa, wadhamini walituweka kando, lakini sasa tunahitaji kufanya kitu, tunajua mafaniko yetu ndiyo yatafungua fursa za udhamini, tunahitaji kufanya kitu 2016.” Hii ni kauli mbiu ya viongozi wa vyama vya michezo nchini mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Lord Eyez aupania mwaka 2016

Lord Eyes

Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.

Lord Eyes

Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.

“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016

RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

KANYIGO KUPATIWA MAJISAFI NA SALAMA KUFIKIA JULAI MWAKA HUU .


Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.

Serikali kupitia Wizara ya Maji Nchini ipo mbioni kupeleka huduma ya Majisafi katika Vijiji vinne   Katani Kanyigo Wilayani Missenyi, Mkoani Kagera ifikapo Julai Mwaka  huu.

Hayo yamebainika katika Ziara iliyofanywa na Mkuu wa Wilaya Missenyi  wakati akitembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa maji safi Kata Kanyigo unaohusisha Vijiji vya Kikukwe, Bugombe, Kigarama na Bweyunge, unaotarajiwa kuhudumia Kaya 2,986 sawa na wakazi 10,986 wenye zaidi ya Shilingi Milioni...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nchi imejiandaa vipi kwa mwaka 2016?

"UCHUMI mnao, lakini mmeukalia!” Utotoni nilipata kusikia redioni kauli hii ya Mwalimu .

Maggid Mjengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani