Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utegemezi umechangia kudhoofisha shilingi yetu

Kwa vigezo vyovyote vile vya kimataifa, uchumi wetu bado unaonekana haupo salama. Hali iko hivyo licha ya kuwepo kwa utajiri mkubwa wa rasilimali kama dhahabu na gesi asilia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Tumedhoofisha shilingi yetu dhidi ya dola

TUNAPOZUNGUMZIA kuimarisha Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani tuna maana gani?

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

Michuzi

UHITAJI MKUBWA WA MAZAO YA MBOGAMBOGA JIJINI MBEYA UMECHANGIA KASI YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI


Katika picha, mkulima wa zao la mahindi Bi. Joyce Nassoro akionyesha shamba lake la mahindi yatokanayo na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Uyole Jijini Mbeya , halipo katika picha, ambapo mkulima huyo ameeleza kuwa ameweza kulima mahindi hayo kwa muda mfupi ambapo kwa sasa anayavuna kwa matumizi ya chakula cha nyumbani kwake.
Bibi Rose Samwande katika picha mkulima wa mbogamboga aina ya karoti katika Bonde la Uyole jijini Mbeya akionesha karoti ambazo zipo tayari kuvunwa kwa ajili...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]

Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii waepuke utegemezi

SASA naweza kukubaliana na matamshi ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbalimbali kwamba baadhi ya wasanii wetu hawajitambui. Hili linajidhihirisha baada ya wasanii wetu kuomba msaada hata mahali ambako hawastahili kusaidiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi migodini waonywa utegemezi

WANANCHI ambao wanazunguka maeneo ya uwekezaji wa migodi ya dhahabu, wameonywa kuacha kutegemea kampuni zinazochimba madini hayo kujiletea maendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHAVITA wajipanga kuondoa utegemezi

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, kimejipanga kuhakikisha jamii hiyo inajiunga kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kuondokana na unyonge ilionao, ikiwa ni pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani