Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAVITA wajipanga kuondoa utegemezi

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, kimejipanga kuhakikisha jamii hiyo inajiunga kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kuondokana na unyonge ilionao, ikiwa ni pamoja na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Asasi za kirazia zasema Ubunifu wahitajika kuondoa utegemezi

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sihaba Nkinga amezitaka asasi za kiraia nchini kubuni na kuendesha miradi ya kimaendeleo badala ya kufanya kazi zake kwa kutegemea ufadhili kutoka nchi za nje hali ambayo inadaiwa kukwamisha miradi mingi.

Ameyasema hayo wakati akifungua Tamasha la 13 la asasi za kiraia linaloendelea kwa siku mbili jijini Dar es Salaam likilenga kuangalia wajibu wa asasi hizo katika utekelezaji wa malengo endelevu.

 Pamoja na mambo mengine...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chavita walia na ukosefu wa wataalam

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimeiomba serikali kuwasaidia katika kutatua matatizo yanayowakabili ya ukosefu wa wataalamu wa lugha za alama inayowakabili kundi hilo. Hayo yalisemwa jana na Mwakilishi wa chama...

 

9 years ago

GPL

CHAVITA KUADHIMISHA WIKI YA VIZIWI DUNIANI

Ofisa wa jinsia na Maendeleo kutoka makao makuu ya Chama  cha Viziwi Tanzania (Chavita), Lupia Mwaisaka,(kushoto) akizungumza kwa kutumia ishara ya mikono.  Kulia kwake ni baadhi ya viongozi wenzake wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo. Jane Malumbo  (kulia) ambaye ni mkalimani wa kutafsiri lugha ya alama aliyokuwa akizungumza, Lupia Mwaisaka,  akirekodiwa na wanahabari mbele ya viongozi hao.… ...

 

5 years ago

Michuzi

FCS YATOA BARAKOA 5000 KWA CHAVITA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

KATIKA kuonesha ushiriki wa mapambano dhidi ya mlipuko wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19,) asasi ya kiraia ya Foundation for Civil Society (FCS) imeendelea kuonesha ushiriki huo kwa kutoa vifaa na ruzuku kwa makundi maalumu na watu wenye ulemavu ili kuendelea kuwaweka salama zaidi pamoja na kuzuia maambukizi zaidi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi barakoa 5000 kwa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015. Mshauri Mwelekezi Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Viziwi, Bw. Novath Rukwago (Kushoto) akijibu baadhi ya maswali toka kwa Waandishi wa Habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii waepuke utegemezi

SASA naweza kukubaliana na matamshi ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbalimbali kwamba baadhi ya wasanii wetu hawajitambui. Hili linajidhihirisha baada ya wasanii wetu kuomba msaada hata mahali ambako hawastahili kusaidiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi migodini waonywa utegemezi

WANANCHI ambao wanazunguka maeneo ya uwekezaji wa migodi ya dhahabu, wameonywa kuacha kutegemea kampuni zinazochimba madini hayo kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Utegemezi umechangia kudhoofisha shilingi yetu

Kwa vigezo vyovyote vile vya kimataifa, uchumi wetu bado unaonekana haupo salama. Hali iko hivyo licha ya kuwepo kwa utajiri mkubwa wa rasilimali kama dhahabu na gesi asilia.

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani