Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asasi za kirazia zasema Ubunifu wahitajika kuondoa utegemezi

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sihaba Nkinga amezitaka asasi za kiraia nchini kubuni na kuendesha miradi ya kimaendeleo badala ya kufanya kazi zake kwa kutegemea ufadhili kutoka nchi za nje hali ambayo inadaiwa kukwamisha miradi mingi.

Ameyasema hayo wakati akifungua Tamasha la 13 la asasi za kiraia linaloendelea kwa siku mbili jijini Dar es Salaam likilenga kuangalia wajibu wa asasi hizo katika utekelezaji wa malengo endelevu.

 Pamoja na mambo mengine...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHAVITA wajipanga kuondoa utegemezi

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, kimejipanga kuhakikisha jamii hiyo inajiunga kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kuondokana na unyonge ilionao, ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

FAMILIA ZA WAFUNGWA WA UNGA CHINA ZASEMA

Alisema mara nyingi watu waliomeza dawa hizo hukamatwa kwa kuhisiwa na baada ya kupekuliwa huamriwa kuruka kichura au kujisaidia ili kujua iwapo wana ‘mzigo’ tumboni. Na Mwandishi Wa, MwananchiWaitaka Serikali kuwasaka wanaowatuma ili sheria ichukue mkondo wake
Dar es Salaam. Familia za baadhi ya wafungwa wa dawa za kulevya katika magereza ya China na Hong Kong zimepokea ujumbe wa ndugu zao kutoka magerezani na kueleza chuki yao dhidi ya wafanyabiashara waliowatumbukiza kwenye tatizo...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mh. Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Msaada wa chakula wahitajika Ethiopia

Zaidi ya watu milioni 8 nchini Ethiopia wanahitaji msaada wa dharura wa chakula kutokana na hali kali ya kiangazi ambayo imekumba baadhi ya maeneo ya taifa hilo.

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA WAHITAJIKA KWA MAPACHA WALIOUNGANA

Hawa watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15  mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge. Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha wameungana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Walinda amani zaidi wahitajika CAR

Wanajeshi zaidi wa Ufaransa walishika doria katika mji mkuu Bangui huku wengine wakiingia nchini humo kupitia Cameroon

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wahitajika kwa Watoto Mapacha walioungana!

0a71d082-9c10-4605-923a-0e0777004614

Pichani ni watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15  mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge.

Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.

Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha...

 

10 years ago

Michuzi

UTASHI WA KISIASA WAHITAJIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs) YA 2016-2030

 Meneja wa Program wa Restless Development,Oscar Kimaro akizungumza na vijana (Hawapo Pichani )kutoka asasi mbalimbali kuelelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs) iliyofanyika katika Makao Makuu Asasi hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Asasi ya Hope Foundation for Social Interprenuership na Mratibu wa Kampeni ua Beyond 2015 Tanzania,Tumaniel Mangi  akizungumza na vijana  (hawapo pichani) juu ya kuwa mabalozi wa malengo 17 ya SDGs katika mkutano  uliyofanyika Makao Makuu ya Asasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii waepuke utegemezi

SASA naweza kukubaliana na matamshi ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbalimbali kwamba baadhi ya wasanii wetu hawajitambui. Hili linajidhihirisha baada ya wasanii wetu kuomba msaada hata mahali ambako hawastahili kusaidiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani