FAMILIA ZA WAFUNGWA WA UNGA CHINA ZASEMA
Alisema mara nyingi watu waliomeza dawa hizo hukamatwa kwa kuhisiwa na baada ya kupekuliwa huamriwa kuruka kichura au kujisaidia ili kujua iwapo wana ‘mzigo’ tumboni. Na Mwandishi Wa, MwananchiWaitaka Serikali kuwasaka wanaowatuma ili sheria ichukue mkondo wake
Dar es Salaam. Familia za baadhi ya wafungwa wa dawa za kulevya katika magereza ya China na Hong Kong zimepokea ujumbe wa ndugu zao kutoka magerezani na kueleza chuki yao dhidi ya wafanyabiashara waliowatumbukiza kwenye tatizo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Familia za wafungwa wa ‘unga’ China zanena
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Ujumbe wa simanzi wa wauza ‘unga’ China
11 years ago
Michuzi.bmp)
TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA
.bmp)
10 years ago
GPL
9 years ago
StarTV02 Dec
Asasi za kirazia zasema Ubunifu wahitajika kuondoa utegemezi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sihaba Nkinga amezitaka asasi za kiraia nchini kubuni na kuendesha miradi ya kimaendeleo badala ya kufanya kazi zake kwa kutegemea ufadhili kutoka nchi za nje hali ambayo inadaiwa kukwamisha miradi mingi.
Ameyasema hayo wakati akifungua Tamasha la 13 la asasi za kiraia linaloendelea kwa siku mbili jijini Dar es Salaam likilenga kuangalia wajibu wa asasi hizo katika utekelezaji wa malengo endelevu.
Pamoja na mambo mengine...
11 years ago
GPLSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA
11 years ago
Michuzi
Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...