Wasanii waepuke utegemezi
SASA naweza kukubaliana na matamshi ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbalimbali kwamba baadhi ya wasanii wetu hawajitambui. Hili linajidhihirisha baada ya wasanii wetu kuomba msaada hata mahali ambako hawastahili kusaidiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
CHAVITA wajipanga kuondoa utegemezi
CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, kimejipanga kuhakikisha jamii hiyo inajiunga kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kuondokana na unyonge ilionao, ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Habarileo04 May
Wananchi migodini waonywa utegemezi
WANANCHI ambao wanazunguka maeneo ya uwekezaji wa migodi ya dhahabu, wameonywa kuacha kutegemea kampuni zinazochimba madini hayo kujiletea maendeleo.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Prof. Mwandosya aonya utegemezi wa vyeti
WASOMI wengi nchini wameshindwa kujiajiri kutokana na kutojua kuwa elimu waliyonayo imewafungua akili ili waweze kufanya mambo yao wakiwa na uelewa mzuri hali inayowafanya kutegemea vyeti walivyonavyo.
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Ekolumo designer: Chuo kinachopambana na utegemezi
MWANAMKE ni nguzo muhimu katika familia za Kiafrika kutokana na kutumia muda mwingi kuangalia familia kuliko kina baba.
Hata hivyo, mbali ya umuhimu wake jamii bado haitoi nafasi kwa wanawake kushiriki shughuli nyingi za kijamii hasa ukuzaji uchumi; bado kuna familia zinazoamini mwanamke ni kiumbe wa kukaa nyumbani tu.
Wapo baadhi ya wanaume ambao mbali ya kutegemea wake zao kwa kila kitu bado wanasisitiza wanawake hawatoshi kumiliki mali za familia. Matokeo yake wanapochukua kipato...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Utegemezi umechangia kudhoofisha shilingi yetu
10 years ago
Mwananchi14 Jun
MAONI : Kupunguza utegemezi kuendane na hali halisi
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Kina mama Kibaha watakiwa kuacha utegemezi
KINA mama nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kuwa tegemezi na badala yake wajiunge katika vikundi vya ujasiriamali kwa lengo la kupamabana na umasikini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Waziri Mkuya: Utegemezi unakwamisha miradi mingi