FCS YATOA BARAKOA 5000 KWA CHAVITA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
KATIKA kuonesha ushiriki wa mapambano dhidi ya mlipuko wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19,) asasi ya kiraia ya Foundation for Civil Society (FCS) imeendelea kuonesha ushiriki huo kwa kutoa vifaa na ruzuku kwa makundi maalumu na watu wenye ulemavu ili kuendelea kuwaweka salama zaidi pamoja na kuzuia maambukizi zaidi.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi barakoa 5000 kwa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Mkurugenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA GVEN WEAR YATOA MSAADA WA BARAKOA KWA KAYA ZINAZOISHI MAZINGIRA MAGUMU MANISPAA YA SHINYANGA
Kampuni ya Ushonaji Nguo na Mitindo Gven Wear ya Mkoani Shinyanga imetoa msaada wa Barakoa 100 kwa kaya zinazoishi katika Mazingira Magumu katika Manispaa ya Shinyanga ili kujikinga na Maambukizi dhidi ya Virusi vya Corona ‘COVID 19’.
Zoezi la kutembelea kaya hizo na kukabidhi barakoa kwa walengwa limefanyika leo Alhamis Mei 14,2020 likiendeshwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Gven Wear Bi. Grace Mng’ong’o aliyekuwa ameambatana na Wenyeviti wa Serikali za...
5 years ago
MichuziUKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI
Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...
5 years ago
MichuziKIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Wakenya wafuzu kwa fainali ya mita 5000
5 years ago
Michuzi
FCS delivers Masks and Sanitizers for People with Disabilities to SHIVYAWATA.





5 years ago
MichuziFCS, Stakeholders Donates TZS 11 million worth of PPEs to MAT

5 years ago
BBCSwahili19 May
Barakoa za mitindo tofauti zatengezwa kwa wingi
5 years ago
Michuzi
KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE

Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.
Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.
Padre Shaiju...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
CHAVITA wajipanga kuondoa utegemezi
CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, kimejipanga kuhakikisha jamii hiyo inajiunga kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kuondokana na unyonge ilionao, ikiwa ni pamoja na...