Tumewandaa vipi Watanzania kupokea matokeo?
Oktoba 25, Watanzania milioni 22 wanatarajia kupiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani, lakini swali kuu ni je, vyama vya siasa vimewaanda wanachama wao kisaikolojia kupokea matokeo?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Tuwaandae watoto kupokea matokeo ya mtihani
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Wananchi waandaliwe kisaikolojia kupokea matokeo-Askofu
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tulinde Amani tunapoendelea kupokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu
![IMG-20151027-WA0019](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/IMG-20151027-WA0019.jpg)
Ndugu watanzania wenzetu, tunapenda kuwapongeza kwa kumaliza mchakato wa kampeni za vyama vya siasa na wagombea kwa amani na utulivu. Vile vile tunawapongeza kwa kupiga kura kwa kwa amani na utulivu, kwani pamoja na kujitokeza kwa wingi tulipiga kura kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza katika zoezi hilo.
Ndugu watanzania wenzetu, tangu juzi jumapili 25 Oktoba tulianza kupokea matokeo. Hiyo ni hatua muhimu sana kwa taifa...
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Watanzania tuwe watulivu kuyapokea matokeo
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-mHdm4GoDeVI/VWByekXv9sI/AAAAAAAAuRE/irzrWv6prgU/s72-c/lemutu.jpg)
Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu
![](http://4.bp.blogspot.com/-mHdm4GoDeVI/VWByekXv9sI/AAAAAAAAuRE/irzrWv6prgU/s640/lemutu.jpg)
lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata...
9 years ago
VijimamboKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vILyeUCRa90/VE_VyD5z7iI/AAAAAAAGt78/UQkpXWLgzg0/s72-c/MMGM1617.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Q3K2ZTa9i1Q/U3Ca2DL-0dI/AAAAAAAFhEw/eZGSX0Rz7xo/s72-c/unnamed+(16).jpg)