Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuwaandae watoto kupokea matokeo ya mtihani

Hivi karibuni tulishuhudia matokeo ya kidato cha nne yakitangazwa na kuzigusa familia mbalimbali zikwa namna moja au nnyingine. Kama kawaida wapo wanafunzi waliotoka kifua mbele kwa kufanya vizuri, huku wengine wakiambulia patupu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU


 Chagua mkoa hapo Juu na  kisha ubonyeze kucheki shule yako 

 

10 years ago

Vijimambo

MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014.


ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU Chagua mkoa hapo Juu na  kisha ubonyeze kucheki shule yako 

 

9 years ago

Mwananchi

Tumewandaa vipi Watanzania kupokea matokeo?

Oktoba 25, Watanzania milioni 22 wanatarajia kupiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani, lakini swali kuu ni je, vyama vya siasa vimewaanda wanachama wao kisaikolojia kupokea matokeo?

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi waandaliwe kisaikolojia kupokea matokeo-Askofu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini, Isaya Mengele ameitaka Serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wawe tayari kupokea matokeo ya uchaguzi wasiyotarajia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tulinde Amani tunapoendelea kupokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu

IMG-20151027-WA0019

Ndugu watanzania wenzetu, tunapenda kuwapongeza kwa kumaliza mchakato wa kampeni za vyama vya siasa na wagombea  kwa amani na utulivu. Vile vile tunawapongeza kwa kupiga kura kwa kwa amani na utulivu, kwani pamoja na kujitokeza kwa wingi tulipiga kura kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza katika zoezi hilo.

Ndugu watanzania wenzetu,  tangu juzi jumapili 25 Oktoba tulianza kupokea matokeo. Hiyo ni hatua muhimu sana kwa taifa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya IEP yatoa matokeo ya mtihani wa dini wa darasa la saba mwaka huu

KHAMISI

Na Ally Daud-MAELEZO

Jopo la Elimu ya Kiislamu nchini (IEP) limetangaza matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa dini hiyo wa kuhitimu darasa la saba Agosti 12 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi wa jopo hilo Bw. Suleimani Daud alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

Bw. Suleimani amesema kuwa wanafunzi ambao walifanya mtihani huo idadi yao ilikuwa 86,613 kati ya wanafunzi 93,101 waliojisajili nchini kutoka shule 3094 ambazo wanafunzi walifanya...

 

11 years ago

Michuzi

NECTA yatoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Na Hellen kwavava
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 21 mwaka huu ambayo ni viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.
Akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza hilo Dakta CHARLES MSONDE amesema viwango vya ufaulu ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuweka pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani