Tunaweza kuandaa Afcon 2015 bila Ebola
Napenda niwe wazi tu, binafsi nataka fainali za Afrika (Afcon 2015) zifanyike katika tarehe iliyopangwa kuanzia Januari 17 hadi Februari 8, ingawa kuna tatizo kubwa la ugonjwa wa Ebola ambao umezikumba nchi za Afrika Magharibi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Nani kuandaa fainali za Afcon 2017?
Mwenyeji wa fainali za Afcon za mwaka 2017 atajulikana leo, Jumatano, kwa kuzipigia kura Algeria, Gabon na Ghana
10 years ago
Mwananchi26 Aug
TFF yaomba kuandaa Afcon 2017
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza nia ya kuandaa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya Libya kujitoa kwa kutokana na sababu za kiusalama.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Kenya yataka EAC kuandaa Afcon
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 zinaweza kuandaliwa kwa pamoja na nchi za Afrika Mashariki kama ombi la Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) likifanikiwa.
11 years ago
Habarileo18 Dec
Halmashauri marufuku kuandaa vikao bila wabunge
HALMASHAURI zote za wilaya nchini zimepigwa marufuku, kuandaa vikao vya halmashauri bila kuwapatia taarifa wabunge kwa kuwa pia wanahaki ya kuhudhuria vikao hivyo Kikatiba.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Tunaweza kufanikiwa zaidi mwaka 2015
Tukiutathmini mwaka uliopita tunapaswa kupata nguvu zaidi ya kutuwezesha kufanikiwa mwaka huu. Sehemu tulizokwama au kujikwaa ziwe mafunzo ya kujiboresha zaidi na kusonga mbele kwa umakini zaidi.
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Ebola kukwamisha AFCON?
Ugonjwa wa Ebola umesababisha kutokuelewana kati ya Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika CAF na mwenzake wa UEFA.
10 years ago
BBCConcern over Ebola threat at Afcon
Equatorial Guinea women's forward Genoveva Anonma calls for the 2015 Africa Cup of Nations to be cancelled over the Ebola threat.
10 years ago
BBCAfcon Ebola risk 'under control'
Equatorial Guinea FA says risk of Ebola at the Africa Cup of Nations is "under control" despite stadium entry delays.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania