TUNDA ATANGAZA NDOA NA YOUNG D
![](http://api.ning.com:80/files/0JM2umRWL9eaArg5hCFo2QOfZ7yGdeYPv1svaWaYMIw9WGJ1ctft7aaJT9UDfSIFr-opbM7sjC50QNyzOOcB2GwxeZ5wgMva/tunda21.jpg?width=650)
Video Queen Tunda Sabasita. Imelda mtema Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon. Mwanamuziki David Genze ‘Young D’. Akiongea na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na kumthamini tofauti na watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM04 Feb
TUNDA MAN KUFUNGA NDOA MWAKA HUU
Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection,Tunda Man amefunguka kuwa kati ya mipango yake aliyoifanya mwaka huu ni pamoja na kutarajia kufunga ndoa mwaka huu.
Akipiga story na 255 ya xxl alisema kuwa kila kitu kipo sawa na kinachosubiriwa ni siku yenyewe tu ifike. ‘’Kila kitu kipo tayari kinachosubiriwa ni siku yenyewe ya kufunga ndoa kwani ndiyo mipango yangu ya mwaka huu’’alisema Tunda Man. Akizungumzia ishu ya kuwa kila msanii akioa hushuka kisanii alisema kuwa hafikirii kuwa atashuka...
10 years ago
Bongo516 Aug
Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSoUFsANJPHoYcAHvhf*234Z*LDYhW09IUBuk*H0XSMGhXYg5wbxYEZFWwgPEa0S5pm-MKhWmdPBi8ig7mp1xCHB/diamond.jpg)
SHEMEJI WA WEMA ATANGAZA NDOA NA DADA WA DIAMOND
11 years ago
Bongo520 Jul
Young Killer afunga ndoa ….. kwenye kava la single mpya ‘Umebadilika’
10 years ago
Bongo Movies23 Aug
Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa
Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.
“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.
Pia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enHWvp6vZaaVhmQg7aqUcz3PkIU5uYb4e9cGJsPt5EiTFGNibC5s6k4ca8VdhnDljk3q6iqE5uG5-b0fmSjUDrw/barnaba.jpg)
STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
9 years ago
Bongo519 Oct
Music: Young Scooter Feat. Young Thug — We Ready