Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDA MAN KUFUNGA NDOA MWAKA HUU

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection,Tunda Man amefunguka kuwa kati ya mipango yake aliyoifanya mwaka huu ni pamoja na kutarajia kufunga ndoa mwaka huu.Akipiga story na 255 ya xxl alisema kuwa kila kitu kipo sawa na kinachosubiriwa ni siku yenyewe tu ifike. ‘’Kila kitu kipo tayari kinachosubiriwa ni siku yenyewe ya kufunga ndoa kwani ndiyo mipango yangu ya mwaka huu’’alisema Tunda Man. Akizungumzia ishu ya kuwa kila msanii akioa hushuka kisanii alisema kuwa hafikirii kuwa atashuka...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake

Hit maker wa Msambinungwa, Tunda Man amesema alikuwa mbioni kufunga ndoa mwezi wa kumi mwaka huu lakini ameahirisha kutokana na matatizo ya kifamilia. Tunda Man ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa afunge ndoa mwezi October lakini kutokana na kuuguliwa na mama yake, ameamua asitishe. “Nina mpango wa kuoa, nilikuwa nataka nifunge ndoa mwezi wa kumi lakini kwa […]

 

9 years ago

GPL

NAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU

Staa wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ STAA wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ anatarajia kuachia ngoma zake tatu kwa mpigo alizowashirikisha mastaa wakubwa ndani na nje ya nchi mwezi. Tunda aliitonya Global Showbiz kuwa ngoma hizo ni Jiachie aliyomshirikisha Diamond Platnumz, Debe Tupu aliyomshirikisha msanii mkubwa nchini Nigeria (Jina linahifadhiwa) pamoja na Mama Kijacho...

 

11 years ago

GPL

MENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU

Jude “Engees” Okoye akiwa na mpenzi wake Ify Umeokeke. MENEJA na kaka wa P-Square, Jude “Engees” Okoye anatarajia kufunga ndoa ya kimila na mchumba wake, Ify Umeokeke mwezi huu. Wapenzi hao ambao walivishana pete Aprili 24 wakati wa bethidei ya Jude pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Ndoa yao inatarajiwa kufungwa Nnewi, Anambra nchini Nigeria. ...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: TAYARI NIMEMVALISHA PETE YA UCHUMBA ZARI, KUINGIA KATIKA NDOA MWAKA HUU

Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV. STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu. Diamond ameyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Aelezea Magumu Aliyopitia Mwaka Huu,Likiwemo Swala la Ndoa Yake Kuota Mbawa

Mwigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja aliezaa na Mh.Joseph Mbilinyi “Sugu” ameelezea ni kwajinsi gani mwakuu mabao yalivyo muendea vijabaya ikiwemo kupeperuka kwa ndoa yao, lakini sasa anajipanga kuanza vyema mwakani.

Wakati  huu mwaka unaanza, nakumbuka nilikua Mbeya mwezi January ilikua ni baada ya kumbatiza Sasha wakatti wa Christmas,wakati huo nilikua na matumaini makubwa sana pia tulikua tumepanga ndoa yetu iwe mwezi wa tano na ni kwa sababu ni siku ya kuzaliwa...

 

9 years ago

GPL

TUNDA ATANGAZA NDOA NA YOUNG D

Video Queen Tunda Sabasita. Imelda mtema Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon. Mwanamuziki David Genze ‘Young D’. Akiongea na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na kumthamini tofauti na watu...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani