Tunisia yatangaza hali ya hatari
Tishio la mashambulio katika mji mkuu, yafanya wakuu wa Tunisia kutangaza hali ya dharura
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Misri yatangaza hali ya hatari
Misri imetangaza hali ya hatari katika eneo la Sinai kufuatia kuuawa kwa takriban wanajeshi 31
5 years ago
MichuziMarekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona
Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, wakuu wa jiji la Washington DC wametangaza hali ya hatari katika jiji hilo na kupiga marufuku mikusanyiko ya watu wanaozidi elfu moja.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi za maafisa wa afya wa Marekani, hadi hivi sasa zaidi ya watu elfu moja na mia moja wameambukizwa virusi vya corona...
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, wakuu wa jiji la Washington DC wametangaza hali ya hatari katika jiji hilo na kupiga marufuku mikusanyiko ya watu wanaozidi elfu moja.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi za maafisa wa afya wa Marekani, hadi hivi sasa zaidi ya watu elfu moja na mia moja wameambukizwa virusi vya corona...
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi
Rais wa Tunisia, Beji Caib Essebsi, amesema nchi yake imo vitani na ugaidi baada ya watu waliojihami kwa bunduki kuwaua watalii
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Chile yatangaza hali ya dharula
Serikali ya Chile imetangaza hali ya dharula katika mji uliokumbwa na tetemeko lenye nguvu
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
UN yatangaza hali ya tahadhari Iraq
UN imetangaza hali ya tahadhari ya kiwango cha juu zaidi cha dharura kwa watu milioni moja unusu nchini Iraq.
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Ebola:Liberia yatangaza hali ya dharura
Liberia imetangaza hatua za dharula dhidi ya ugonjwa wa Ebola kufuatia kasi kubwa ya kuenea kwa ugonjwa huo.
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Sierra Leone yatangaza hali ya tahadhari
Rais wa Sierra Leone ametangaza hali ya tahadhari ilikupambana na ugonjwa wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Ebola:Guinea yatangaza hali ya dharura
Rais wa Guinea ametangaza hatua za dharura kwenye majimbo matano ya nchi hiyo katika mpango mpya wa kuangamiza ugonjwa wa ebola.
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Hali ya hatari yatangazwa Vanuatu
Rais wa Vanuatu ameiambia BBC kuwa watu wengi wameachwa bila makao kutokana na kimbunga kikali kilichokumba kisiwa hicho
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania