Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tusherehekee Pasaka kwa amani

JESHI la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka kulinda maisha na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia nafasi hiyo kufanikisha vitendo hivyo. Msemaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Pasaka tusherehekee, tutafakari na kumegeana mkate

MASHITAKA yaliyomfikisha Yesu wa Nazareti Msalabani, yanachanganya. Kufuatana na masimulizi, inaonyesha hata na wale waliotekeleza mashitaka hayo walikuwa hawafahamu vizuri ni kwa nini mtu huyo, afikishwe mbele ya baraza na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kinana:Tamasha la Pasaka liombee amani Tanzania

kinanaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametoa wito kwa waandaaji wa Tamasha la Pasaka, Kampuni ya Msama Promotions kuongeza ufanisi kwa kuongeza chachu kwa waimbaji kuiombea amani Tanzania hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa Kinana sambamba na hilo kwa pamoja tuiombee nchi yetu umoja, amani, mshikamano ambako tamasha hilo litumike kumuomba Mungu kufanikisha umoja kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka

JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani

Watangazania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), wameanza kutangaza nia na wengine kuchukua fomu

 

10 years ago

GPL

MTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA

Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakiwa stejini wakati wa kumsifu Mungu na kumwabudu. Glorious Worship Team wakizidi kumwabudu Mungu katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station. Mpiga gitaa la sauti nzito (base) wa GWT, Emmanuel Materu akicharaza gitaa hilo. Pembeni yake ni…

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS YAMWAGA MISAADA KWA VITUO SABA VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR KWA AJILI YA PASAKA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata Michael kutoka kituo cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya msaada kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar es salaam vipatavyo saba, unaotolewa na kampuni hiyo katika wakati huu wa kuelekea sikukuu ya pasaka, vyakula hivyo vina thamani ya shilingi milioni 6
Tamasha la Pasaka  linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini,ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

FUN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA: YAFUNGA MITAMBO YA KISASA KWA AJILI YA MICHEZO YA KWENYE MAJI


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea. Mitambo ya kisasa iliyofungwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani