Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tusipojifunza kutoka historia yetu hatutaweza kuona yajayo

MATUKIO ya kisiasa ya hivi karibuni, na ambayo yataendelea kwa muda hadi Uchaguzi Mkuu mwishoni m

Jenerali Ulimwengu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Salamu maalum za shukurani kutoka Mbeya Yetu Blog

Cheti  cha ushindi wa Tatu ambacho Mbeya Yetu walikabidhiwa na TASO. IMG_6003

Hili ndilo Banda la  Mbeya yetu Blog lililokuwa ndani ya Maonesho ya Nane nane Mbeya.

Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited Joseph Mwaisango kulia Akikabidhiwa Cheti cha ushindi wa tatu  cha vyombo vya habari kikanda katika kurusha matukio yote ya Nane nane Jijini Mbeya na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa  Ruvuma Mh. Rajabu Mwambungu  wa Pili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusipojifunza kwa matukio haya tusubirie shubiri

RAIS wangu wiki iliyopita ilikuwa na matukio mengi lakini leo tuangazie matukio matatu ambayo yalivuta hisia za watu wengi. Ni katika wiki iliyopita Afrika imeondokewa na marais wawili baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

SALAMU KUTOKA KWA MHARIRI :Ahadi yetu uchaguzi wa 2015

Ndani ya siku 131 kuanzia leo, Watanzania watakuwa wameingia katika shughuli ya kutekeleza wajibu wao kikatiba wa kuchagua madiwani, wabunge na muhimu sana, Rais wa tano tangu nchi yetu ya Tanzania ipate uhuru miaka 54 iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo'

Je unamkumbuka Monica Lewinsky? mwanamke aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi ya aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sahau yaliyopita, ukumbatie yajayo

TUNAISHI katika dunia yenye maudhi na machungu mengi na hakuna mtu ambaye hajawahi kukwazika maishani. Ukiwa bado hai, tegemea kukutana na mambo mengi ingawa kila mtu anawaza kuhusu mafanikio, ni...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani