Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuwasikilize CCM tupate bora Katiba au tuwapuuze tukose yote?

>Usemi wa Kiswahili kwamba,  ‘Mwaga mboga nimwage ugali’ unaweza ukapata maana  kwa kutafsiri sehemu ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Desemba 30, mwaka jana baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Pili ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuwasikilize viongozi wa dini kuhusu Katiba

Tangu mchakato wa kupata Katiba Mpya uanzishwe yapata miaka mitatu sasa, viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini hapa nchini wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kuwapo maridhiano miongoni mwa makundi mbalimbali ili ipatikane Katiba nzuri itakayowakilisha matakwa na maoni ya wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

Katiba itakuwa ni ya Makundi yote - Mh. Sitta

Na Magreth   Kinabo
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewahakikkishia Watanzania kwamba  Katiba Mpya itakayopatikana itakuwa imezingatia matakwa ya makundi mbalimbali.
Mhe . Sitta aliyataja makundi hayo  baadhi ya  makundi hayo kuwa ni wafugaji, wakulima, wavuvi na wasanii.Huku akisema Katiba Mpya itakayopatikana itakuwa ni bora kuliko ya iliyopo sasa.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhe . Sitta wakati akizungumza na wafugaji wapato 44 kutoka mikoa mbalimbali,ambao...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ije na sheria ya Bunge kuidhinisha mikataba yote

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Cecilia Paresso, ameshauri kuingizwa kifungu katika rasimu ya Katiba ambacho kitalazimisha Serikali kuifikisha bungeni mikataba yote ya kimataifa ili kuridhiwa bungeni.

 

11 years ago

Habarileo

CCM: Tutarejesha majimbo yote ya upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hivi sasa kipo makini kuhakikisha kinaweka udhibiti wa kutosha wa makundi majimboni. Pia chama hicho, kimesisitiza kuwa, kutokana na kukithiri kwa makundi hayo, viongozi wake wa kitaifa wamekuwa hawalali kwa kuangalia namna ya kurejesha majimbo yote ya wapinzani mikononi mwa chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho yote CCM kwa Warioba leo 

MACHO na masikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yatakuwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji mstaafu Joseph Warioba, kuona kama mapendekezo yao ya kupinga muundo wa muungano...

 

10 years ago

Michuzi

PIGA KURA ILI TUPATE UZI MPYA WA TIMU YA TAIFA

Watanzania wanatakiwa kupigia kura jezi ya timu ya Taifa ya nyumbani na ugenini kupitia mtandao wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa www.tff.or.tz ambapo jezi hizo zimewekwa.
TFF ilipokea mapendekezo ya mwonekano mpya wa jezi ya timu ya Taifa kutoka kwa Watanzania 86. Jezi 11 za nyumbani, bukta nane za nyumbani, jezi nane za ugenini na bukta tano za ugenini ndizo zimepitishwa kwa ajili ya kupigiwa kura.
Mwisho wa kupiga kura ni Desemba 31 mwaka huu. Mpigaji kura anatakiwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

DUA HII NI KWASOTE: Tunataka tupate watu 40-Wakizidi ni Bonus.

Assalamu Alaikhum Warahmatullah Wabarakatuhu Ndugu Watanzania kutoka Ndani na Nje ya Zanzibar na Ndani na Nje ya Tanganyika. Ama sina budi ila kuwaletea Dua hii ambayo namimi nimeletewa na Brother mmoja ambe ana asili ya Usharifu. […]

The post DUA HII NI KWASOTE: Tunataka tupate watu 40-Wakizidi ni Bonus. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

MIAKA 38 YA CCM NA FALSAFA YA RAIS BORA LAZIMA ATOKE CCM

Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mwishoni mwa wiki iliyopita kimeadhimisha miaka 38 tangu kuzaliwa kwake katika kaya hii. Mazuri na mabaya yake sitayajadili leo bali nitaangalia jambo moja nalo ni IMANI.
2015 ni mwaka wa uchaguzi. CCM kama chama tawala kinaingia kwenye kinyan’ganyiro hicho kikiamini falsafa ya ya kiongozi wake wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA CCM DODOMA USIKU HUU: USIRI WATAWALA TANO BORA YA WAGOMEA WA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku huu nje ya ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokaa kupitisha majina matano ya wagombea Urais yatakayopelekwa kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliawa hapo saa nne asubuhi. Nape hakutaja majina ya wagomea hao waliopita kwenye tano bora, kwa kuseka atataja asuhuhi. Muda mfupi baada ya Katibu wa NEC,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani