Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuwasikilize viongozi wa dini kuhusu Katiba

Tangu mchakato wa kupata Katiba Mpya uanzishwe yapata miaka mitatu sasa, viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini hapa nchini wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kuwapo maridhiano miongoni mwa makundi mbalimbali ili ipatikane Katiba nzuri itakayowakilisha matakwa na maoni ya wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini waiweka Serikali pabaya kuhusu Katiba Mpya

Dar es Salaam. Viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu wameendelea kuiweka Serikali katika wakati mgumu baada ya kusema hawataiunga mkono Katiba Inayopendekezwa ikiwa matakwa yao hayatazingatiwa.

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wasikitikia Katiba

>Wakristo kote nchini jana waliungana na wengine duniani kuadhimisha Ijumaa Kuu ikiwa ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita, huku viongozi wa dini wakieleza kusikitikia mwenendo wa mchakato wa Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini wapingana Bunge la Katiba

WAKATI Taasisi mbalimbali za kidini nchini zikiendelea kumwomba Rais Jakaya Kikwete alisitishe Bunge Maalum la Katiba, wakidai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetumia wingi wa wajumbe wake kupuuza maoni ya wananchi...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba

Christopher ole SendekaMBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo.…

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA

Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali,katika kuhamasisha jamii kuhusiana na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid-19.
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwasikilize CCM tupate bora Katiba au tuwapuuze tukose yote?

>Usemi wa Kiswahili kwamba,  ‘Mwaga mboga nimwage ugali’ unaweza ukapata maana  kwa kutafsiri sehemu ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Desemba 30, mwaka jana baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani