Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA UANDISHI MAHIRI 2015 ZAJA

Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi MukajangaKatibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga akizungumza na waandishi wa habari ofisi za Baraza zilizoko Mwenge jijini Dar es Salaam.
KAMATI za maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) iliyopo chini ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) imezindua rasmi tuzo hizo ambazo zimeongezewa makundi mawili ya kushindania.Akizungumza na waandishi wa habari ofisi za Baraza zilizoko Mwenge Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga, amesema makundi mapya ya kushindaniwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwananchi yapongezwa tena kwa uandishi mahiri

Gazeti la Mwananchi limetajwa kuwa ni mfano bora kwa kuripoti habari za uchaguzi wa mwaka huu bila upendeleo huku likiwapa wananchi fursa ya kuzungumza na wagombea wao.

 

10 years ago

GPL

TUZO ZA WATU ZAJA KIVINGINE, VIPENGELE VYAONGEZEKA

Mhariri mkuu wa Bongo5  Bw. Fredrick Bundara akiwa pamoja  na mwariri msaidizi, Sandu George wakizungumza leo na waandishi wa habari  katika uzinduzi wa Tuzo za watu 2015 Mhariri mkuu wa Bongo5  Bw. Fredrick Bundara akiwa pamoja  na mhariri msaidizi, Sandu George wakizungumza leo na…

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA WATU ZAJA KIVINGINE VIPENGELE VYAONGEZWA



Kampuni ya Bongo5 Media Group, imezindua msimu mpya na wa pili wa Tuzo za Watu Tanzania zilizoanzishwa mwaka jana ili kuwatuza watu kwenye sekta ya burudani na habari wanaofanya vizuri.Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo, mhariri mkuu wa mtandao wa Bongo5, Fredrick Bundala amesema tuzo za mwaka huu zimeboreshwa zaidi kwa kuongeza vipengele vitatu vipya.
“Mwaka huu tuzo zimeongezewa nguvu zaidi. Kutoka vipengele 11 tulivyokuwa navyo mwaka jana hadi vipengele 1. Mwaka huu...

 

11 years ago

Michuzi

Tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari 2013

 Mpiga Picha Mkuu wa Kampuni ya Raia Mwema, Mpiganaji Anthony Siame akikabidhiwa tuzo ya Umahairi wa Uandishi wa Habari na Bw. Aggrey Mareale  baada ya kuibuka mshindi wa picha bora kwa mwaka 2013 wakati wa Sherehe zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Hongera mpiganaji!

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WANNE WAPATA TUZO ZA UANDISHI WA FASIHI YA KISWAHILI AFRIKA


Afisa Masoko wa Alaf, Theresia Mmasy akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani)jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwandishi wa kitabu cha Kolonia Santita, Enock Maregesi na Mwandishi wa Ushairi la Kifaurongo, Christopher Budebah.
Mkuu wa Idara ya Fasihi ya Mawasiliano na Uchapishaji (TATAKI) WA wa chuo kikuu cha Dar es Salaam akiwa na baadhi ya viongozi ya ALAF Limited. Mshiriki wa Taaluma ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa, Adrian Mtembei  akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT) JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8) mshindi wa jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mwandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani