Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TYGA ‘ASHAMBULIWA’ NA AMBER ROSE


Staa wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga. New York, Marekani STAA wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga juzi kati ‘ameshambuliwa’ kwa maneno na mwanamitindo maarufu, Amber Rose kuwa ni msaliti. Amber Rose. Katika mahojiano na Jarida la…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

AMBER ROSE ATEKWA NA MR. IBU

Amber-and-Mr-IbuMPENZI wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose, ameonekana kuvutiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria,
John Okafor ‘Mr Ibu’ kutokana na filamu yake ya Sugar Daddy.

Filamu hiyo ya Sugar Daddy imefanya vizuri nchini Nigeria, lakini kwa sasa imevuka mipaka ambapo imefika
nchini Marekani na kumgusa mrembo huyo.

Kupitia Instagram, Amber Rose aliweka picha ya msanii huyo na kudai kwamba ni ‘bonge la msanii’ ambaye
anavutiwa naye.

“Mr Ibu, anafanya vizuri, nimependa kile ambacho amekifanya...

 

10 years ago

Mtanzania

Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana

amber-rose-wiz-khalifaBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...

 

9 years ago

GPL

AMBER ROSE ATOKA NA MWANAMICHEZO ODELL BECKHAM

Amber Rose atoka na Mwanamichezo Odell Beckham Jr. Mwanamichezo Odell Beckham Jr New York, Marekani INAONEKANA mwanamitindo nyota wa Marekani, Amber Rose (31), ameachana moja kwa moja na mumewe, Wiz Khalifa, kwani inasemekana mrembo huyo ameanza uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa timu ya New York Giants, Odell Beckham Jr.…

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!

MMOJA kati ya waigizaji ninaowafahamu vizuri mwanzo wao, ni Rose Ndauka, binti mwenye umbo zuri na muigizaji mwenye uwezo wa kubadilika kulingana na sehemu anayotakiwa kuigiza. Nilimfahamu kwa mara ya kwanza miaka nane iliyopita, wakati mmoja wa waigizaji wakongwe nchini, Single Mtambalike ‘Rich’ aliponialika katika uzinduzi wa filamu yake iitwayo Swahiba, uliofanyika katika jengo moja la filamu lililopo mtaa wa...

 

10 years ago

GPL

HAMISA MABETO KAMA KIM, AMBER ROSE

Na Hamida Hassan
Tabia ya mastaa kujipiga picha za nusu utupu wakiwa na mimba haikuwepo Bongo, wamekuwa wakifanya hivyo mastaa wa nje kama vile Kim Kardashian, Amber Rose na wengineo lakini mwanamitindo, Hamisa Mabeto amefanya hivyo kisha kuzitupia picha zake mtandaoni. Hamisa Mabeto. Hamisa alijifungua hivi karibu baada ya kufanikiwa kuificha mimba yake lakini kumbe alijipiga picha hizo za kihasara kisha kuzihifadhi. Hata...

 

10 years ago

GPL

AMBER ROSE ATOA KITABU CHENYE UTATA!

Mwanamitindo anayetikisa Marekani, Amber Rose. New York, Marekani
MWANAMITINDO anayetikisa Marekani, Amber Rose juzikati alizindua kitabu chake kinachotambulika kama How To Be A Bad Bitch kilichoacha utata katika mitandao ya kijamii kutokana na jina lake. Kava la kitabu kinachoitwa 'How To Be A Bad Bitch'. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Amber aliachia kava la kitabu hicho kinachotoa somo la jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha...

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa

wiz-khalifa-amber-rose-divorce-gty-ftr Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose.

INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).

Photos-Amber-Rose-et-Wiz-Khalifa-aux-anges-avec-Sebastian-c-est-reparti-pour-un-tour_portrait_w674Chanzo kilicho karibu na mastaa hao, kinaanika ubuyu kuwa, wawili hao tangu watengane Septemba 2014 kila mmoja amekuwa akila bata kivyake lakini uthibitisho tosha ulijidhihirisha hivi karibuni baada ya Amber kuweka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani