U15 YAREJEA JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-JWPedwV75IU/VmbUnTsSMCI/AAAAAAAIK9E/cnfFqxVskIU/s72-c/u15camp.png)
ZIARA ya timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) iliyoanzia kanda ya ziwa na kanda ya Magharibi kisha kuendelea katika nchi za Rwanda, Uganda na Kenya mwezi huu imesitishwa kutokana na kufungwa akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA).
Timu hiyo ya vijana iliondoka wiki iliyopita kuelekea jijin Mwanza, ambapo iliagwa na kukabidhiwa bendera ya Taifa na katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s72-c/Staz.jpg)
TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-bNsAjWc0rHA/VINQ5ztcQ0I/AAAAAAAG1pc/1rqFtL9MRTU/s1600/Staz.jpg)
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Huduma ya maji Dar yarejea tena
BAADA ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.
9 years ago
Michuzi29 Nov
U15 YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA
![](http://tff.or.tz/images/flagu15.png)
9 years ago
Habarileo30 Aug
U15 waenda kujaribiwa Afrika Kusini
WACHEZAJI watano kutoka katika kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) wameondoka jana kwenda Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates kwa ajili ya kufanya majaribio.
11 years ago
GPLU15 TANZANIA YATUA MEDALI VIFUANI
9 years ago
Habarileo30 Nov
U15 yakabidhiwa bendera, kuelekea Mwanza
TIMU ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) jana imekabidhiwa bendera ya Taifa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel katika hosteli za Shirikisho la soka Tanazania, TFF, zilizopo Karume jijini Dar es salaam.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y0EK4KOiKns/U4hJ3cb2OUI/AAAAAAAFmdU/xoVL004yy9Y/s72-c/4.jpg)
TIMU YA U15 TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI AYG
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y0EK4KOiKns/U4hJ3cb2OUI/AAAAAAAFmdU/xoVL004yy9Y/s1600/4.jpg)
Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa SSKB jijini Gaborone ambapo kwa matokeo hayo Tanzania imetwaa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili. Nigeria ndiyo ilishika nafasi ya kwanza na kutwaa medali ya dhahabu.
Tanzania imemaliza ikiwa na pointi kumi ambapo ilishinda mechi tatu,...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-46knnDJ2l74/VlhFdjlkYII/AAAAAAAIIm0/0AHJIz7OUkI/s72-c/u15camp.png)
U15 YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-46knnDJ2l74/VlhFdjlkYII/AAAAAAAIIm0/0AHJIz7OUkI/s640/u15camp.png)
Kocha wa timu hiyo Sebastian Mkomwa amesema vijana wote wameshawasili jijini Dar es salaam na leo wameanza mazoezi asubuhi katika uwanja wa Karume watakapokua wanajifua kila asubuhi na jioni mpaka siku ya safari.
Kikosi cha wachezaji 24 kimeingia...
11 years ago
GPLM-PESA YAREJEA HEWANI