Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uamuzi, mipango ya kukurupuka inavyoua elimu

Elimu ya sekondari ni kiini cha maendeleo katika elimu ya sayansi na teknolojia, ambapo wananchi wanaweza kumudu mazingira yao na kuchangia maendeleo ya taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Tatizo ni kukurupuka bila mipango

TIMU ya Tanzania iliyoenda kushiriki michuano ya Afrika maarufu kama ‘All African Games’ imereje

Winfrida Mtoi

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali iachane na mipango ya zimamoto katika elimu

Septemba 11 na 12 mwaka jana, wanafunzi 844,938 walifanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba. Kati yao 427,609 walifaulu kwa daraja A mpaka C. Wanafunzi waliokuwa wamesajiliwa kufanya mtihani huo walikuwa 867,983.

 

9 years ago

Mtanzania

Sukari kutoka nje inavyoua viwanda vya nchini

MTZ UCHUMI HII SAFI.inddMTZ UCHUMI HII SAFI.indd>>TPC wataka itozwe kodi ya asilimia 100

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoendelea Afrika kupitia sekta mbalimbali za kiuchumi vikiwemo viwanda.
Licha ya umuhimu wa viwanda hivyo bado kumekuwa hakuna sera madhubuti zinazolenga kuboresha na kuendeleza
viwanda vya ndani.

Sekta hiyo bado inakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kuchelewesha malengo yaliokusudiwa ya kukuza uchumi na maisha bora kwa wananchi wake.

Sera zilizopo zinaruhusu kuuzwa kwa bidhaa mbalimbali...

 

9 years ago

Press

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.

SONY DSC

SONY DSC

Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.

Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Arfi: Lissu aache kukurupuka

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu kuacha kukurupuka na kutamka mambo ambayo bado hayajatolewa uamuzi na vikao vya chama.

 

11 years ago

Habarileo

Kazi ya kubomoa si ya kukurupuka-Prof Tibaijuka

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema tayari imeweka mabango katika maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya wazi vilivyovamiwa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza na gazeti hili alisema mabango hayo yaliyowekwa ni kuwataka wakazi waliovamia viwanja vya wazi kuondoka mara moja. Profesa Tibaijuka alisema kuwa bomoabomoa itafanyika katika maeneo hayo hivyo ni vyema wanaojijua kuwa wamevamia wakaondoka mapema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali isifanye kazi kwa kukurupuka

MASAIBU yanayowasibu wananchi yanatokana na serikali kufanya kazi zake kwa kukurupuka kabla ya kufanya tathmini kisha kutofuatilia utekelezaji wake. Tabia hii huwakwaza wananchi na kuilaumu mara kwa mara. Utaratibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuvunjwa kituo cha Ubungo ni ama kukurupuka au makusudi

Kuna mambo yanatokea katika nchi hii ambayo ni ya aibu na kuumiza. Mambo hayo yanafanya mtu ujiulize jee hapa wahusika walitekeleza jambo husika kwa kukurupuka kwa sababu ya kutokujua au wamefanya kusudi?

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

IMG_6071

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.

IMG_6171

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango. 

Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani