Ubelgiji yashauri raia wake waondoke Burundi
Ubelgiji imewashauri raia wake kuondoka Burundi, huku Muungano wa Ulaya nao ukipunguza maafisa wake wanaohudumu huko.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Wabelgiji watakiwa waondoke Burundi
Chama tawala nchini Burundi kimewataka raia wote wa Ubelgiji waondoke nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Paris:mshukiwa mkuu ni raia wa Ubelgiji
Kufuatia mashambulizi ya kigaidi mjini Paris uchunguzi unamlenga raia mmoja wa Ubelgiji mwenye asili ya Morocco anayedhaniwa kuwa ndiye aliyepanga njama hiyo.
10 years ago
BBCSwahili11 May
Ubelgiji yainyima Burundi msaada
Ubelgiji imesitisha msaada wa aina yoyote kwa Burundi, hasa uliokuwa ukifadhili uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Ubelgiji yakatiza msaada kwa Burundi
Ubelgiji imesema haitatoa tena ufadhili kwa miradi inayonufaisha serikali ya Burundi baada ya Pierre Nkurunziza kuchaguliwa kuongoza muhula wa tatu.
10 years ago
BBCSwahili13 May
Raia wa Burundi watoa ya moyoni
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.
10 years ago
Habarileo30 May
Raia 4 wa Burundi watupwa jela
RAIA wanne wa Burundi wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kila mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuishi nchini bila ya kuwa na kibali.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Raia wa Marekani kuondoka Burundi
Marekani imetaka Raia wake walio nchini Burundi kuondoka nchini humo
10 years ago
BBCSwahili19 May
Kipindupindu chawaua raia 15 wa Burundi
Wakimbizi 15 wa Burundi, wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukimbilia usalama wao nchini Tanzania kwa mashua wakitokea nchini mwao Burundi.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-0NPuUIab-xU/VU5KWaBfTEI/AAAAAAAAe7c/kTJYQG1FgVw/s72-c/CElCboSWoAEJVcC.jpg)
RAIA WA BURUNDI WAZIDI KUINGIA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0NPuUIab-xU/VU5KWaBfTEI/AAAAAAAAe7c/kTJYQG1FgVw/s640/CElCboSWoAEJVcC.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania