Kipindupindu chawaua raia 15 wa Burundi
Wakimbizi 15 wa Burundi, wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukimbilia usalama wao nchini Tanzania kwa mashua wakitokea nchini mwao Burundi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Kipindupindu chawaua watu 29 Sudan Kusini
Watu 29 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipundupindu nchini Sudan Kusini huku wengine 1000 wakiwa katika hatari ya maambukizi kulingana na Umoja wa mataifa.
10 years ago
GPLWAZIRI KEBWE AZUNGUMZIA KIPINDUPINDU KILICHOUA WAKIMBIZI WA BURUNDI
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe Stephen Kebwe, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe Stephen Kebwe, Â ametoa tathmini ya vifo 15 vilivyotokea mkoani Kigoma kijiji cha Kagunga ambapo watu tisa wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu na sita kufa kutokana na maradhi mbalimbali. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam katika ofisi za...
10 years ago
Habarileo30 May
Raia 4 wa Burundi watupwa jela
RAIA wanne wa Burundi wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kila mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuishi nchini bila ya kuwa na kibali.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Raia wa Marekani kuondoka Burundi
Marekani imetaka Raia wake walio nchini Burundi kuondoka nchini humo
10 years ago
BBCSwahili13 May
Raia wa Burundi watoa ya moyoni
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-uY3DnqFOBR0/VVyMJmMIQ2I/AAAAAAAAa-Y/CefpYxDw97c/s640/B1.jpg)
KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO
 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka…
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-0NPuUIab-xU/VU5KWaBfTEI/AAAAAAAAe7c/kTJYQG1FgVw/s72-c/CElCboSWoAEJVcC.jpg)
RAIA WA BURUNDI WAZIDI KUINGIA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0NPuUIab-xU/VU5KWaBfTEI/AAAAAAAAe7c/kTJYQG1FgVw/s640/CElCboSWoAEJVcC.jpg)
10 years ago
BBCSwahili08 May
Raia wa Burundi waomba hifadhi Tanzania
Zaidi ya raia elfu 20 kutoka nchini Burundi wapo magharibi mwa Tanzania wakitaka kuvuka ziwa Tanganyika kuomba hifadhi.
10 years ago
BBCSwahili09 May
Ghasia Burundi:Raia wakimbilia Tanzania
Kutokana na ghasia nchini Burundi,inakadiriwa karibu raia wa Burundi elfu ishirini wamevuka kuingia nchi jirani ya Tanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania