‘Ubomoaji ni endelevu’
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewatahadharisha wananchi kuepuka kujenga katika maeneo ya wazi na kuvamia viwanja, kwani kazi ya bomoabomoa ni endelevu. Kauli hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na Ofisa Habari wa Wizara hiyo, Mboza Lwandiko alipofanya mahojiano na gazeti hili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Korti yazuia ubomoaji nyumba Vijibwen
MAHAKAMA Kuu ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi wa awali wa kuzuia ubomoaji wa nyumba za wakazi eneo la Vijibweni, Kigamboni. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji...
9 years ago
MichuziTAARIFA YA UBOMOAJI WA NYUMBA MANISPAA YA KINONDONI
10 years ago
GPLUBOMOAJI WA GHOROFA ‘BOVU’ DAR WAKWAMA
Ghorofa la Indira Gandhi jijini Dar es Salaam ambalo linadaiwa kujengwa chini ya kiwango na ambalo lilikuwa libomolewe leo. GHOROFA ambalo lilikuwa libomolewe leo jijini Dar es Salaam kutokana na kudaiwa kuwa limejengwa chini ya kiwango bado limeendelea kuwepo, kuonyesha kwamba zoezi hilo limekwama. Ghorofa hilo lililopo Mtaa wa Indira Ghandi lilikuwa libomolewe leo kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said ...
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL YAMULIKA UBOMOAJI WA KITUO CHA MABASI, FOLENI UBUNGO
  Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi.   Nguzo za umeme wa nguvu kubwa ‘zikipita’ juu ya wabomoaji.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania