Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ubungo mataa


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UBUNGO MATAA KUFUNGWA KUPISHA UJENZI WA BARABARA

Muonekano wa daraja Kituo cha mabasi Ubungo jijini Dar. KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag  inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na kesho kutwa usiku kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Yahya Mkumba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ubungo Mataa kufungwa leo kupisha ujenzi

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo kuanzia leo usiku kutokana na ujenzi unaoendelea. Akizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SEHEMU YA BARABARA YA Ubungo Mataa Dar es salaam kufungwa kesho na keshokutwa usiku kupisha ujenzi

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na keshokutwa usiku kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara. Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam jana,Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Yahya Mkumba, alisema  kazi hiyo itahusu ujenzi katika makutano ya barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Nelson Mandela katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema ‘yawaacha polisi kwenye mataa’

Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), ‘kimewaacha polisi kwenye mataa’ katika maeneo mbalimbali nchini baada ya kutojitokeza kwenye maandamano na kuwaacha askari wakiwa wamejipanga barabarani na maeneo nyeti wakiwasubiri, lakini mjini Bukoba chama hicho kilifanya maandamano.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Tadea waachwa kwenye ‘mataa’ Dar

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha Tadea kutoka mikoa mbalimbali wameushutumu uongozi wa chama hicho kwa kuwatelekeza baada ya kumalizika kwa kikao hicho cha juu na kuwafanya waishi maisha magumu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

TELA LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA JIONI HII

Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.Mafuta aina ya petroli yakimwagikaPolisi Usalama barabarani wakilinda eneo hiloTela hilo T 172ABT likiwa chini Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani