Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema ‘yawaacha polisi kwenye mataa’

Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), ‘kimewaacha polisi kwenye mataa’ katika maeneo mbalimbali nchini baada ya kutojitokeza kwenye maandamano na kuwaacha askari wakiwa wamejipanga barabarani na maeneo nyeti wakiwasubiri, lakini mjini Bukoba chama hicho kilifanya maandamano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama ya Kisutu yawaacha wafuasi wa Chadema

12

Mmoja wa wanachama wa Chadema, Kamugisha Ngaiza, alivyowekwa chini ya ulinzi na polisi hivi karibuni.

14

Na Mwandishi wetu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewaachia huru kwa dhamana washitakiwa watatu wenye kesi namba173 ya mwaka 2014, kwa kosa la kumsindikiza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Makao Mkuu ya Polisi.

Washitakiwa hao ni Ngaiza Kamugisha ambaye ni mfuasi wa chama hicho, Katibu wa BAVICHA Temeke, Benito Mwapinga na Elisante Bagenyi ambae ni mfuasi wa chama...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Tadea waachwa kwenye ‘mataa’ Dar

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha Tadea kutoka mikoa mbalimbali wameushutumu uongozi wa chama hicho kwa kuwatelekeza baada ya kumalizika kwa kikao hicho cha juu na kuwafanya waishi maisha magumu jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mavazi ya mhubiri yawaacha vinywa wazi

Mhubiri mmoja nchini Iran amewaacha watu vinywa wazi kwa kuvalia vazi la rangi ya manjano.

 

9 years ago

Bongo5

Video: #TECNOOwnTheStage episode ya Christmas yawaacha washiriki na mshtuko

10

Sehemu ya saba ya kipindi cha shindano la kwanza karaoke barani Afrika, Tecno Own The Stage ilikuwa maalum kwaajili ya Christmas na ilirushwa Jumapili ya December 27.

Washiriki walitumbuiza nyimbo zenye theme ya Christmas. Watanzania wawili, Nandy na Zooccu waliosalia kwenye shindano hilo nao walijifunga kibwebwe.

Zooccu aliimba wimbo ‘White Christmas’ na kuwakuna majaji japo si kama ilivyokuwa kwa mshiriki wa Nigeria, Shaapera aliyeimba ‘We Three Kings of Orient are’ wa ’ Rev. John Henry...

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Marufuku ya mirungi yawaacha matatani watafunaji Somalia

Ndege zinazobeba kichocheo cha mirungi au miraa zimezuiwa kuingia nchini Somalia, na kuwaacha watafunaji wa majani hayo katika kitoweo

 

11 years ago

GPL

UBUNGO MATAA KUFUNGWA KUPISHA UJENZI WA BARABARA

Muonekano wa daraja Kituo cha mabasi Ubungo jijini Dar. KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag  inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na kesho kutwa usiku kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Yahya Mkumba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani