Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Kiembesamaki uwe kipimo cha siasa safi Zanzibar

>Kesho hekaheka za kampeni za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki zinazinduliwa hapa Zanzibar kwa wagombea na vyama vyao kusaka nafasi ya uwakilishi wa wananchi katika Baraza la Wawakilishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTIAJI SAINI WARAKA WA MAADILI YA UCHAGUZI KWA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR

1Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi la zanzibar Salum Mwalim akielezea maswala mbalimbali kuhusiana na hali ya Usalama kuelekea katika Uchaguzi mkuu katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palas Zanzibar 2Baadhi ya Wajumbe wa vyama vya Siasa waliohudhuria katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palas...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunaongoza kwa ukeketaji demokrasia, uchaguzi si kipimo chake

OKTOBA 25, mwaka huu, nchi yetu inafanya uchaguzi wa nne chini ya mfumo wa demokrasia ya vyama vi

Joseph Mihangwa

 

11 years ago

Habarileo

Hekaheka uchaguzi mdogo Kiembesamaki zaanza

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeanza kutoa fomu kwa ajili ya wagombea wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki, utakaofanyika Februari 2, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Wanawake na siasa zetu ni kisa cha tajiri na maskini?

>Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba mchango wa wanawake katika mambo ya siasa ni mkubwa kuliko ule wa wanaume.

 

9 years ago

Michuzi

Vijana msitumike kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa - Tume ya taifa ya uchaguzi

Na Ally Daud-Maelezo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa vijana kutojihusisha na vitendo vya fujo katika kipindi hiki cha  kampeni  badala yake waelekeze nguvu na  juhudi  zaidi katika kujenga uchumi wa taifa.Akiongea katika mkutano uliowakutanisha NEC na wawakilishi wa vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid  (pichani) alisema kuwa  vijana wasitumike na vyama vya siasa kama kichocheo cha fujo .


“Vijana...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt Bilal apiga kura Kiembesamaki, Zanzibar

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihakikiwa kabla ya kutimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani  kwenye kituo cha kupigia kura  namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani