UCHAGUZI MKUU YANGA JUNI 15, 2014
![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK9OT7-UXyFuIczpExnMzgDcoZIurmpya5dMUrbr3Dan2zhKAS58V5mSmSTKQoqh70ufWJwpSUSSgKKErajknWFe/yangalogo.jpg?width=550)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014. Taarifa za taratibu za Uchaguzi zitatangazwa hapo baadae na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mh Alex Mgogolwa. Â Imetolewa: Young Africans SC 14 Aprili,2014. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Uchaguzi Mkuu Simba Juni 29
KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imetangaza kuanza kutoa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kesho, tayari kwa uchaguzi utakaofanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam. Serikali ilipitisha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aQuT2LGMQ6M/VVs2D4rLpiI/AAAAAAAC4tg/8eGisUk0qeo/s72-c/KINYOYA.jpg)
UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-aQuT2LGMQ6M/VVs2D4rLpiI/AAAAAAAC4tg/8eGisUk0qeo/s320/KINYOYA.jpg)
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...
10 years ago
MichuziNEC KUTANGAZA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI MKUU 2015, JUNI 31
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kailima Ramadhani amesema ugawaji huo utakuwa umezingatia idadi ya watu,jiografia ya eneo husika pamoja mawasiliano na uchumi ili kuweza kuwalishwa na bunge katika maendeleo ya jimbo.
Ramadhan...
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Michuzi13 Apr
Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi 26.April 2014 Berlin
Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu wa chombo chao UTU ambao kinawaunganisha watanzania wote waishio ujerumani bila kujali...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asG4Yx4OnAu2PoKC7x*OmzyrBB0yn5rymuOndh*PdNiW*H3w7o6WXb*0qUtAossRZ4r04EXcvbeRf0JUck7X2JC/LOGO_UTU.jpg?width=650)
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) KUFANYA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI APRILI 26, 2014 BERLIN
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mvGxljca6-k/U0q6xafy-ZI/AAAAAAAFagU/KloqIywStKU/s72-c/images+(1).jpg)
Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi .April 26, 2014 mjini Berlin
![](http://4.bp.blogspot.com/-mvGxljca6-k/U0q6xafy-ZI/AAAAAAAFagU/KloqIywStKU/s1600/images+(1).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Yanga yaitisha mkutano Juni 1
WAKATI Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Plujim akiachana na Yanga baada ya kupata ofa katika timu ya Al Shoala ya Saudi Arabia, klabu hiyo imeitisha mkutano maalumu wa marekebisho ya...