Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi umewadia, wapigakura wajitambue

Ni kipindi cha lala salama. Zimebaki siku nne tu kabla ya kupiga kura kuwachagua madiwani, wabunge na rais watakaoiongoza nchi yetu kwa miaka mitano ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

IDADI YA WAPIGAKURA YAONGEZEKA UCHAGUZI MKUU 2020-WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka huu ni 29,804,992 ikilinganishwa na wapiga kura 23,161,440 wa mwaka 2015.

Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema Tume inaendelea na uchambuzi wa taarifa za wapiga kura waliojiandikisha na baada ya zoezi hilo kukamilika, Daftari la mwisho litakalotumika katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 litaandaliwa na kuwekwa wazi.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatatu, Juni 15,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

GEPF: Wasanii wajitambue

MFUKO wa wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), umewataka wasanii nchini kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili wapate mafao ya pensheni na mengineyo yanayotolewa na mifuko husika. Kauli hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRYDA kuwajenga vijana wajitambue

TAKWIMU za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, zinaonesha kuwa , Tanzania ina vijana milioni 38 walio chini ya miaka 35, idadi hii ni sawa na watu  wote...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Mwisho wa Ulimwengu, Samatta umewadia

Uswahiba una mwisho wake. Mwisho wa uswahiba wa mastaa wawili wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu unaonekana umewadia na muda si mrefu hawatakuwa karibu tena.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Shebby love — Wakati Umewadia

Msanii Shebby Love ameachia wimbo mpya unaitwa “Wakati Umewadia” Studio Chaidaz Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

MUDA UMEWADIA, TAIFA STARS Vs SUPER EAGLES

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kikosi cha timu ya Nigeria, Super Eagles. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, muda huu zimeshuka uwanjani kumenyana vikali kuwania  kufuzu Kombe la Afrika 2017 Gabon. Mechi hiyo inafanyka katika uwanja wa Taifa jijini Dar. PICHA: MAKTABA NA…

 

11 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapigakura kuboreshwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi kuelimisha wapigakura

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema wizara yake imeweka mikakati ya kuhakikisha inatoa elimu kwa jamii kupitia halmashauri ili wananchi watambue umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani