Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI WA NAFASI YA MWENYEKITI.

Kwa niaba ya jumuiya ya tanzaseattle na jumuiya ya watanzania wote hapa Washington state mimi...Ndugu A.Dola(Public Relation Officer)ninawataarifu kua kutakuwa na uchaguzi ya nafasi ya uwenyekiti wa chama chetu...
Nafasi hizo mbili kwa sasa zana gombaniwa na Ndugu..Emil muta na Ndugu Fatma al Tamim.Ikumbukwe ya kwamba haya ni MARUDIO sababu katika duru la kwanza uliofanyika tarehe 21sept 20214 wagombania wote walipata kura sawa,nafasi ya wagombea wengine wote walipita bila kupigwa majina wao...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

EMIL MUTTA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA SETTLE, WA

Wagombea nafasi ya Mwenyekiti Jumuiya ya Watanzania Seattle jimbo la Washington Emil Mutta na Fatma Tamim wakijinadi na kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wapiga kura wao siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 siku ulipofanyika uchaguzi wa Mwenyekiti na Emil Mutta kushinda kwa asilimia 72 kwa wapiga kura 184 waliojitokeza kati ya jumla ya Watanzania waishio jimbo hilo wanaokadiriwa kufikia 600.Joshua Gwakisa(aliyesimama) akiuliza swali kwa Wagombea wenyekiti (hawapo pichani) siku ya uchaguzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mlangi mgombea pekee nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida!!

DSC02266

Mgombea nafasi ya mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Singida,Elia Digha Mlangi,akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kazi.Digha aliyetetea vema nafasi yake ya udiwani kata ya Msange,ni mugombea pekee katika nafasi hiyo kutokana na halmashauri hiyo kutokuwa na diwani kutoka upande wa upinzani.Picha  na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Diwani  mteule (CCM) kata ya Msange tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida,Elia Digha Mlangi,ni mgombea pekee katika  nafasi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya kupokea Fomu hizo Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Mjumbe wa...

 

11 years ago

Habarileo

Uchaguzi Chadema: Slaa, Mbowe kutetea nafasi zao

Mkurugenzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Singo KigailaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa Septemba 11, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kuwania nafasi uchaguzi serikali za mitaa

WANAWAKE kote nchini wamehimizwa kuacha malumbano na kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI MSAIDIZI WA TUME YA UCHAGUZI YA BURUNDI ATOROKA

Mwenyekiti Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi ya Burundi anayedaiwa kutoroka, Spes Caritas Ndironkeye. Nia ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania urais wan chini humo kwa muhula wa tatu imezidi kuigharimu nchi hiyo baada ya ripoti kutoka nchini humo zikidai kuwa Mwenyekiti Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi ya Burundi ametoroka na hajajulikana alipo. Ofisa mmoja wa Tume hiyo ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa, Spes Caritas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani