Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa ubunge Arusha kuahirishwa

act+death+picNA ELIYA MBONEA, ARUSHA

 

CHAMA cha ACT Wazalendo kimepata pigo baada ya mgombea wake wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Mallah kufariki katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Mjini Moshi.

Katika hilo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa mujibu wa sheria italazimika kuusogeza mbele uchaguzi wa ngazi ya ubunge.

 

Ilidaiwa kuwa Septemba 6, mwaka huu Mallah alianza kujisikia vibaya wakati akiwa katika mkutano wa mgombea urais wa chama chake, Anna Mghwira na kwamba baada ya mkutano alipelekwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Uchaguzi Arusha Mjini kuahirishwa

Uchaguzi Arusha Mjini kuahirishwaJIMBO la Arusha Mjini na Chama cha ACT-Wazalendo, wamepata msiba wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo, Estomih Mallah na kusababisha kuwa jimbo la tatu ambalo kura ya mbunge haitapigwa katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba 25 mwaka huu.

Majimbo mengine ambayo kura ya kuchagua wabunge haitapigwa ni Lushoto, baada ya kufariki kwa mgombea ubunge wa Chadema, Mohamed Mtoi mwanzoni mwa Septemba mwaka huu.

Lingine ni Ulanga Mashariki, baada ya mgombea ubunge wa jimbo...

 

9 years ago

StarTV

Uchaguzi Arusha kuahirishwa kufuatia kifo cha mbunge wa ACT Wazalendo.

Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Estomih Malla, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya rufaa ya KCMC Mjini Moshi, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu Malla alikimbizwa KCMC baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa katika mikutano ya kampeni za chama chake  jumatano iliyopita huko Ngaramtoni Arusha.

Katika makao makuu ya chama cha ACT-Wazalendo Arusha Mwenyekiti wake mkoani humo Samwel Kivuyo, amesema wakiwa katika mkutano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zuma ataka uchaguzi kuahirishwa Burundi

Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma amekuwa kiongozi wa hivi karibuni anayetaka uchaguzi wa urais nchini Burundi kuahirishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wahofia Uchaguzi Mkuu kuahirishwa

>Hofu ya kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu imezidi kutanda baada ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wanaharakati kueleza kuwa kuna dalili ndogo za uchaguzi huo kufanyika Oktoba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu nchini CAR kuahirishwa

Rais wa CAR Catherine Samba Panza amesema uchaguzi mkuu nchini humo utaahirishwa kwa sababu za kiusalama.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa kamili ya kuahirishwa kwa uchaguzi Zanzibar iko hapa

IMG_4387

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

TUME ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) , imefuta na kuhairisha matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na kujitokeza kwa kasoro mbali mbali za ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha alisema kuwa kutokana na kasoro mbali mbali zilizojitokeza katika uchaguzi huu na kusababisha vikwazo mbali mbali...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani